Dr. Shein aenda Uingereza kwa ziara Maalum. Swali, kaenda kama nani?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
[h=1]Dr. Shein Aenda Uingereza Kwa Ziara Maalum[/h]
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja na viongozi wengine katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum,katika safari hiyo Dk. Shein amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Swali Uingereza kaenda kama nani na ziara maalum ndo ipi hiyo? Au kaenda kumwakikisha Vasco Dagama
 
Kama mwenyekiti wa Jimbo la Zanzibar
 
viongozi wetu wajanja sana...wanapenda kusafiri na wake zao ili allowance yao wanayolipwa iwe kubwa zaidi
 
Sasa kama kwa Kiswahili zile states za Marekani tunaziita kwamba ni "majimbo" basi Zanzibar nayo ni "Jimbo" .

Hivyo, Dr. Shein is the Governor of Zanzibar similar to Schwarzenegger who was Governor of California from 2003 to 2011.

Hivyo, wala sipati kigugumizi kusema kuwa Dr. Shein aliyeenda Ulaya ni "Gavana wa Zanzibar" maana tafsiri za kiswahili zinanilinda.
 
Haaahaaahaaaaa! Kwa sababu tunaambiwa kuwa wazenji wana msimamo mmoja kuhusiana na muungano, na kwa sababu tunaambiwa kuwa sultan wa zenji anaishi Uingereza, bila shaka atakuwa ameenda kujadili naye mikakati ya uamsho watoke vipi!
SWALI LA KIZUSHI: Kwa nini viongozi wa mapinduzi ya zenji hawakumkamata sultan na wenzake wawapeleke Mabwepande wakawang'oe meno na kucha kwa koleo?! Au technic hii haikuwepo enzi hizo???
 
Umeshasema ni mwenyekiti wa baraza la SMZ, Kaenda kuzitoa zile bendera kwenye melikebu za Iran, kwani mabepari hawataki kutuona tunaendelea na siasa zetu za kutofungamana na upande wowote!!
 
Haaahaaahaaaaa! Kwa sababu tunaambiwa kuwa wazenji wana msimamo mmoja kuhusiana na muungano, na kwa sababu tunaambiwa kuwa sultan wa zenji anaishi Uingereza, bila shaka atakuwa ameenda kujadili naye mikakati ya uamsho watoke vipi!
SWALI LA KIZUSHI: Kwa nini viongozi wa mapinduzi ya zenji hawakumkamata sultan na wenzake wawapeleke Mabwepande wakawang'oe meno na kucha kwa koleo?! Au technic hii haikuwepo enzi hizo???

Wanajeshi wa uingereza walimtorosha
 
Pumba!
 
Dr. Shein ni RAIS wa Zanzibar. Kwa huu ujinga wenu wa kukataa kuitambua Zanzibar ni nchi katika muungano ndio moja ya sabau ya zanzibar kutaka kujitenga. Zanzibar ni nchi kama katiba ya Zanzibar inavosema. Na karibuni pia muungano utavunjika kwa kuwa wazanzibari hawautaki muungano feki anymore.
Mumekosa kumuheshimu Dr. Schein kama rais wa upande mmoja wa muungano. Darasa la muungano kwenu halipo ndio maana munaropokwa ovyo. Nchi yenu ni katika nchi masikini sana duniani wakati ndio moja katika nchi tajiri sana afrika na hamujui kwanini.
 
Bora wenzetu wana nchi inaitwa Zanzibar na Rais anaeitwa Shein na nyimbo yao ya Taifa na bendera yao, yetu inaitwaje?
 
[h=1]Dr. Shein Aenda Uingereza Kwa Ziara Maalum[/h]
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja na viongozi wengine katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum,katika safari hiyo Dk. Shein amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Swali Uingereza kaenda kama nani na ziara maalum ndo ipi hiyo? Au kaenda kumwakikisha Vasco Dagama

Vipi mleta mada imekuuma kusikia rais wa zanzibar ameenda uingereza? FYI huki anapokwenda anajulikana rais wa zanzibar, hata mabwana zenu akina Bush walikua wanamtambua rais wa zanzibar Karume, na Karume alikua anatandikiwa red carpet!! Pilipili usioila inakuwashia nini??
 
Back
Top Bottom