Msanii Roma Mkatoliki anatumiwa na CHADEMA ktk majukwaa ya burudani kuiponda serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msanii Roma Mkatoliki anatumiwa na CHADEMA ktk majukwaa ya burudani kuiponda serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr Emmy, Jul 1, 2012.

 1. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa mistari inayoamsha hasira za mashabiki dhidi ya serikali.
  leo nikiwa ktk viwanja vya fukwe za coco beach ktk tamasha la Tigo msanii huyo alihamasisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kuonesha ishara ya vidole viwili na tamasha kugeuka kuwa kama mkutano wa chadema, hakika hali ilinichukiza sana kwani audience yote ililipuka kwa mayowe baada ya kutolewa mistari iliyochochea chuki dhidi ya serikali na vyombo vya dola kama police. Picha za tukio hilo nitazitupia badae.
  Mytake serikali sasa inayowajibu wa kutunga sheria kali ili kuwadhibiti wasanii kama Roma mkatoliki ambao wanageuza majukwaa ya burudani kuwa majukwaa ya siasa kwani hali hiyo inaweza leta uvunjifu wa amani kwani ktk matamasha ya burudani wanahudhuria mashabiki wenye itikadi mbalimbali ya vyama vya siasa.
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Vipi radio imani na tv imani inadumisha amani nchini
   
 3. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sirudishi kadi ya chama ka Nakaya.......
   
 4. patriq

  patriq Senior Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mr emmy = radio imani = imani tv = boko haram = nk
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Vipi An_nuur na Radio IMani?
   
 6. T

  The tourist Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwambie cku Chege au Temba naye Siku 1 aseme CCM hoyee kwenye show halafu aone ktakachompata
   
 7. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Orijino Comed, Marlaw, Tip top connection, Dimond e.t.c. wanatumiwa na nani? Uwe unajipa muda angalau dakika moja ya kushirikisha ubongo kabla ya kuweka post yako jamvini.
   
 8. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha serikali dhaifu ya wahuni wanaoteka na kuua watu iumbuliwe. Just matter of time, 2015 si mbali.
   
 9. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Pole kwa kukosa akili!!! ujui siku hizi ukitamka ccm watu wanakasirika?! Bora utaje cdm watu watakuelewa lakini ukisema ccm watu wananuna! Ccm inanuka rusha! UNAONEKANA UNA AKILI YA (MAITI!!!)
   
 10. M

  Masanga Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  fikira dhaifu
   
 11. L

  Luiz JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona huku kilombelo mabalozi wa ccm wanapita kila nyumba kuwa wanachama wa ccm wasio na kadi na wenye kadi tukutane shule ya msingi tugawane mahindi ya msaada je? Huku ni sikuatalisha amani kwa watu ambao wenye vyama vingine.
   
 12. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  hawa hutumiwa na ccm ktk mikutano ya chama nahawafanyi hivyo katika matamasha ya public kama alivyofanya Roma ktk tamasha la Tigo coco beach
   
 13. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  kunya aje kuku..akinya bata kaharisha!! Wapo wasanii kibaaao wanaisifia serikali na CCM so nenda huko ukaburudishe masaburi yako!! Nyie ndio bado hadi leo hamjaamini kama tupo kwenye multiparty system. Nenda kwa Marlaw, Ze Comedy, TOT nk.
   
 14. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Huyu dogo kesi yake iliishiaga wapi ya kutumia jina ovyo la rahisi
   
 15. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Haya na mm nampa mistari ya Kurap huyo Roma Mkatliki
  Ufikapo maeneo ya Victoria hadi Mwenge Utafunikwa soksi nyeusi
  Utapelekwa hadi Mabwepande na gari nyeusi
  Utavuliwa @@@..mistari inakata
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona unamwaga pumba kama Chadema-Kata.
   
 17. S

  Shelisheli Senior Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Funny, inamaanisha mpaka nyie wenye itikadi tofauti za kisiasa mlinyoosha vidole?
   
 18. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hoja dhaifu,mawazo dhaifu mtakimbia kivuli chenu mpaka lini?ebu tumikie wananchi hizi sarakasi mnazoruka hazitawasaidia
   
 19. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wewe ni wa dunia gani?
  Roma ni msanii na kazi kubwa ya sana ni kuelimisha jamii
  na yeye kama mtanzania ana haki kutoa maoni kwa anayoyaona
  Wanapoimba kina marlaw, Hadija kopa na wengine huwa unaumia hivi???
  Acha ujinga wewe
   
 20. nuraj

  nuraj JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa!!!
   
Loading...