zanzibar huru
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 218
- 108
Nilitegemea leo asubuhi baada ya kupata taarifa kamili toka foreign,SMZ, Ubalozi wa USA, State department na Ubalozi wa Iran, Chama kikuu cha upinzani Tanzania wangekuwa wanazunguka kwenye vyombo vya habari kutoa msimamo wao au kama vipi wangeita press conference kuzungumzia msimamo wao juu ya suala hili na mambo mengineyo ya kimataifa yanayohusu Tanzania na wangechukua nafasi hiyo kuelezea msimamo wao juua ya mambo mengineyo
Lakini sitoshangaa kama wamelala leo moaka saa 7 mchana na baada ya kuamka wako humu JF wanasoma tuuu misimamo toka kwa wana JF
Sasa hawa watu kweli tunaweza kuwaamini kwa kuwapa nchi kweli?
Lakini sitoshangaa kama wamelala leo moaka saa 7 mchana na baada ya kuamka wako humu JF wanasoma tuuu misimamo toka kwa wana JF
Sasa hawa watu kweli tunaweza kuwaamini kwa kuwapa nchi kweli?