Mambo ya msingi katika katiba mpya

mchaichai

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
648
76
Katika katiba ya sasa hakuna kipengele cha mwongozo wa majanga ya kitaifa...mnaonaje kama katiba ikasema mamabo yenye athari kwa taifa kama migomo ijadiliwe na bunge iwapo serikali na wawakilishi wa wafanyakazi watashindwa kufikia muafaka kwa wakati..

Mfano msingi wa hoja hii tuangalie athari ya mgomo wa madaktari na mgomo baridi wa waalimu..serikali imekuwa inatumia mianya ya kishenzi iliyopo kwenye katiba ya sasa kuchelesha haki mfano kukimbilia mahakamani ambapo haki inachukua muda mrefu kutolewa maamuzi.....serikali kuendesha mambo kisiasa zaidi mfano migogoro ya muda mrefu yenye athari kuamuwa kwa utashi wa watu wachache wenye kiburi cha kisiasa na madaraka bila kujadi watu wa chini ndiyo wanaotaabika....

Angalia wanaliotoa maamuzi mpaka sasa ni wale wasitibiwa nchini na kama watatibiwa wanakwenda hospital binafsi kwa green card. NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom