Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jun 27, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hana jipya,

  Mh. Zambi anahoji kuwa japokuwa kesi mahakamani madaktari wameendelea kugoma serikali inasemaje?

  Pinda kasema kesho watalitolea maamuzi na kasema LITAKALO KUWA NA LIWE. Hivi kwa kauli hii tuna waziri mkuu kweli??
   
 2. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Litakalokuwa na liwe. Mh. Pinda leo bunge
   
 3. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Baada za Mh Zambi kuomba tamko la serikali kuhusu mgomo, japo uko mahakamani, Pinda kasema wamefuata taratibu za mahakama na kwamba madaktari wamekaidi.
  Hivyo kesho serikali itatoa tamko, akisema liwalo na liwe(bila shaka atarudia vitisho km vilichochea mgomo zaidi mwezi wa pili)
   
 4. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mnyika kaomba kwanini tunasikiliza upande mmoja tu wa serikali mbona kamati ya bunge na madaktari hawasikilizwi?
   
 5. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Tangu lini Pinda akawa waziri Mkuu, ubongo wake umepinda kama jina lake, tuna viongozi ambao hawawezi kufikiri nje ya zipu za suruali zao. Inatia hasira sana.
   
 6. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  kesho serikali kutoa taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari.
   
 7. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Imeniuma sana
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  yeah
  kunakipindi ni lazima serikali ifanye maamuzi magumu ili kunusuru maisha ya watu wake

  ukisikia mtu mzima anasema NA LIWALO NA LIWE tutegemee maamuzi magumu kutoka kwa serikali
   
 9. Mbutunanga

  Mbutunanga Senior Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Did you expect different kauli? Nimesikia wanaonba pension iongezeke. Kwa maana hiyo kama NomA na Iwe NomA sio?
   
 10. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Dakika 120 zimekwisha, timu hazijafungana na sasa tunaelekea kwenye penati. Mshindi lazima apatikane
   
 11. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Baada ya Mhe. Zambi kutaka majibu ya Serikali (leo Bungeni) Waziri Mkuu ameahidi kesho serikali italitoa majibu/tamko kesho. Tutarajiwe nini Great Thinkers?
   
 12. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Very GOOD.
  wamekataa kuzungumza,wananchi wanakufa.
  Whatever the consequences,Government has to act now.
   
 13. m

  mamajack JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  tutarajie serikali kuonesha udhaifu zaidi.
   
 14. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Serikali iache vitisho,inatakiwa kuwajibika kwa wananchi wake kwa kuwapatia Huduma bora.
   
 15. F

  Froida JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Mh Pnda kwa amri ya Jakaya Kikwete unasema liwalo na liwe kwa sababu watanzania mumewafanya mandondocha mwisho wenu utakuwa mbaya sana,sasa munataka kumuua Ulimboka bila madaktari kukupangia vidonge vya kunywa kila siku leo siungekuwa mavumbuni muda mrefu
   
 16. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Busara itumike na Mungu azipe pande zote busara ili nyasi zisiumie
   
 17. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Kesho mbona mbali hivi wako serious kweli wanajua ni wagonjwa wangapi wanadhirika kwa wao kuto chukua hatua sahii za kunusuru huu mgomo! kweli tumekwisha hatuna serekali kabisa ila tuna viongozi wa liosimama serekalini wakiongeza posho zao tu
   
 18. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,216
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hatuna kiongozi hapa arudi kijijini akalime, ye si mtoto wa mkulima
   
 19. Small Boy

  Small Boy Senior Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kauli aliyoitoa bungeni leo asbuhi waziri mkuu pamoja naklukamatwa kupigwa kiongozi wa jumuiya ya madaktari Dr. Steven Ulimboka vinanifanya kutambua kwamba serikali yetu nzima haina mpango wowote na kujali maisha/uhai wa watanzania hata tone;
  Nawasihi madaktari wote nasi tuseme liwalo na liwe haturudi kazini

  246442_2239587645330_1016628778_n.jpg
  Dr Ulimmboka kama alivyokutwa leo asubuhi akiwa amejeruhiwa vibaya sana, please pray for our colleague to get well soon! Ni vigumu hata kumtambua.
   
 20. damper

  damper JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Acha serikali inayoitwa legelege ifanye maamuzi magumu, kwani hili jambo sasa ni kero. LIWALO NA LIWE.
   
Loading...