kati ya hotuba bora kuwahi kutolewa na kikwete tangia aingie Madarakani ni ya 1,july,2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kati ya hotuba bora kuwahi kutolewa na kikwete tangia aingie Madarakani ni ya 1,july,2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by simaye, Jul 2, 2012.

 1. simaye

  simaye JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete tarehe 1, july, 2012 alitoa hotuba yake ya mwisho wa mwezi juu ya Mgomo wa Madaktari na biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu.Nilivutiwa zaidi namna alivyozungumzia mgomo wa madaktari unaoendelea hapa nchini na kwa kweli kama Madaktari wote walifuatilia watakuwa wameachana na mgomo na leo hii wako kazini. Kwanza Rais aliongea kwa busara pasipo kutumia ushabiki wa kisiasa ambao kwa kweli umekuwa ukikoroga hotuba zake nyingi hasa anapozungumzia masuala nyeti ya kitaifa kama jana..Pili amezungumza kwa hoja zinazoashiria ukweli juu ya uwezo wa nchi na madai ya madaktari.Ombi langu ni yeye kusisimamia namna ya kutoa hotuba kama rais pasipo kuingiza upambe wa kisiasa ambao mara nyingi huwa ni za kulazimisha ushindi hata kama suala lenyewe linoonesha kuwa wanaodai wana hoja za msingi.
   
Loading...