Mh. Rais Hivi Kweli Upo? Matatizo ya Watanzania Unayasikia kweli?

UTAJUA

Member
Apr 4, 2012
68
17
Mh. Raisi Kikwete upo Kweli?, au Mheshimiwa huoni siku hizi?, au Umekuwa kiwizi?. Matatizo ya watanzania unayasikia kweli?, Mfano:-
1. Madaktari kudai haki zao mojawapo mazingira bora na mishahara bora.
2. Walimu Mishahara na nyongeza zao.
3. Mashirika ya Umma yaliouzwa au kuingia ubia kama Reli.
4. Ufisadi
5. Polisi kufanya yasiyo haki
6. Bei za Vyakula kupanda mfano CHUMVI sasa nayo imepanda
7. Umeme
8. Sekta ya Madini
9. Ardi za Vijiji kuporwa na Wawekezaji
10. Na mengine mengi

Hivi Upo Raisi kweli?, au Mheshimiwa Baba na Mama walikuwa Mambo safi sana mpaka Hukumbuki au Mheshimiwa Huna Dini (mfano Uislamu au Ukristo au..)

Mheshimiwa kaa chini Tafakari kumbuka kuna maisha mengine baada ya hapa mfano Mbinguni na huko bila Matendo mema ni Ngumu KUINGIA.
 
Yaani hapo ni kama Unampigia gitaa mbuzi. Hata wimbo uwe mzuri namna gani, yeye ataendelea na hamsini zake tu. Dogo,Tafakari.
 
Back
Top Bottom