Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman ameshangazwa na mwanasheria mwenzake Tundu Lisu kwa kutofahamu madhumuni na malengo ya mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yaliozaa serikali ya umoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mgodi wa kiwira mkoani mbeya umefungwa rasmi leo na serikali imeukabidhi kwa STAMICO.. Na wafanyakazi 398 wamelipya mafao yao.. Mkurugenzi wa stamico amesema wanafanya utaratibu wa kuufungua upya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naichukia sana CCM...imefikia hatua nikipanda Bus,nikigundua niliyekaa nae siti moja ni CCM.....Nipo tayari kusimama Dsm mpaka Musoma. Sijui nifanyaje kuondoa hii hali..
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kawaida, mzee wa masafa atapaa kwenda Uingereza jumatatu ya juma lijalo kwa takribani siku tano. Source: mtu wa karibu na mambo ya safari hizo!
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Ni ajabu kwamba kiongozi wa nchi anakuja Songea na robo tatu ya mji hauna umeme.Hii nchi mbombo jilipo!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilipokuwa nasikia kauli ile tena ikitoka kwa mwanahabari mwandamizi,Juma Nkamia nililishtuka sana,yaan watanzania wengi wamesikia wenyewe kwa kuona kwenye tv madaktari bingwa wakitangaza kuanza...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Kwa tetesi nilizozipata kutoka kwa askari wa wanyama pori ni kwamba waziri wa maliasili na utalii Mr. Kagasheki amepigwa mkwara na wakuu baada ya kuwasimamisha baadhi ya maafisa wa wanyama pori wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamati ya mambo ya nchi za nje inatembelea nchi mbalimbali ikiwemo marekani. ningependa kujua gharama za mke wa mjumbe mmojawapo wa kamati Bw.Lowassa. Bi Regina Lowassa zinalipiwa na nani?? je ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Namshauri CHEYO-UDP anachokifanya BUNGENI kwa sasa ni ujinga kwani anajitahidi kuisemea na kujisogeza zaidi upande wa CCM kulikO UPINZANI.REJEA jinsi alivyooneshwa kukerwa na suala la LEMA...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kutokana wizi ulioripotiwa kutokea wizarani kwake, alipoongea na waandishi wa habari alisema "Haikuwa wizi bali ulikuwa ukiukwaji wa taratibu za fedha". Lakini wakati huo mkumbuke kuwa imeundwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Aliye na hamu ya kupoteza umaarufu wake ndani ya jamii aendelee kuunga mkono migomo ya madaktari. Wagonjwa wanaokwenda kwenye hospitali zetu za rufaa huwa wanatoka mikoa na willaya zote nchini...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenge wa Uhuru mwaka mmoja ulilala katika uwanja wa mpira katika kijiji chetu. Kesho yake, katika uzio wa kiwanja ziliokotwa sio chini ya mia moja ya mipira ya kondom iliyotumika katika ngono za...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Na Mwandishi wa Risasi Jumamosi Tukio la kutekwa na ‘kusulubiwa’ kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka hivi karibuni, limeibua mambo mazito, Risasi Jumamosi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwanza combination yake unapoingia form five ni Physics, Chemistry na Biolology (PCB), au Chemistry, Biolology, Geography (CBG). Anyway siku hizi University zimekuwa kibao hivyo maadam una...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wana Jf habari za saa hizi ambazo tunaishi katika pango ambalo linavukizwa na moto mkali wa mabuwa na vifuu vya nazi, Naomba mchango katika hili Najaribu kuvuta picha juu ya mwelekeo wa nchi hii...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Mkapa (rais wa awamu ya tatu), baada ya kustaafu alijijengea nyumba ya thamani isiyopungua bil4-5 kwa thamani ya sasa huko Masaki mwisho kutoka kwenye akaunti za taifa kama zawadi ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiongozi kapelekwa south kwa matibabu zaidi baada ya unyama aliofanyiwa. Mimi kama mwananchi wa kawaida natafakari ingekuwaje kama wangefika africa kusini na kukuta kuna mgomo wa madaktareee. Au...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
I saw blood Face broken, bones shattered Teeth plucked out, nails broken His skin swollen, his dignity stolen I saw it, I saw it all and I will not remain silent again! I saw fear...
6 Reactions
6 Replies
929 Views
  • Closed
Tarehe 3 mwezi julai,2012 chama kipya CHAUMMA(chama cha ukombozi wa Umma) kilipata usajili wa muda. Kwa bahati mbaya kabisa au kwa makusudi kuna baadhi ya watu wameakueneza propaganda za...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Ni wazi kwamba namba yoyote ya simu huwezi itumia more than 3 days kama haijawa registered. Nikikumbuka enzi hizo nafanya kazi ya kupigisha simu, tulikuwa tunapata a summary ya calls zote kutoka...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…