Mgodi wa kiwira umefungwa na.. Wafanyakazi 398.. Wamelipwa mafao yao..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgodi wa kiwira umefungwa na.. Wafanyakazi 398.. Wamelipwa mafao yao..!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sir.JAPHET, Jul 7, 2012.

 1. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mgodi wa kiwira mkoani mbeya umefungwa rasmi leo na serikali imeukabidhi kwa STAMICO.. Na wafanyakazi 398 wamelipya mafao yao.. Mkurugenzi wa stamico amesema wanafanya utaratibu wa kuufungua upya na kuanza kuchimba makaa ya mawe kupitia teknolojia mpya na mitambo mipya ya kisasa kwani iliyoko sasa imechakaa mno, wanategemea kuchimba tani milion 1.2 za makaa ya mawe kwa siku na kuzalisha umeme wa megawati 200.. Source.. Star tv..
   
Loading...