Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MGOMO WA MADAKTARI: TUTAFAKARI. Ni ndefu ila fika mwisho, TAFADHALI. Wakati mwingine huwa ninapata shida sana kufikiri ni jinsi gani watanzania tulivyojawa ushabiki, ujinga, upuuziaji...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Stella manyanya leo kamfananisha dr ulimboka na hitler.. Maana yake ni kuwa kawafananisha madaktari wote na hitler (wauaji) . Kingwa una kauli gani juu ya hili? Asante. Naomba wachangiaji...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakati kuwekeza katika elimu ni kuzuri kwa taifa bado uhalali wa mtaji unaweza kuwa questioned.Wana JF tujuzane kuhusu uwekezaji katika elimu wa Mh.Nchimbi na uhalali wa Mtaji wake.Shule kubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimeamini kuwa rais ni rais tu hata kama atapwaya mahali pengi, Madaktari wote wamepigwa mkwara na kurudi kazini faster. hongera presdent, hongera drs.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa mara nyngne tena tunakwenda kuishuhudia tume ya kiserikali ikikabidhiwa jukumu la kulichunguza tukio la kutekwa na kupigwa kwa Dr.Ulimboka..Hii inanikumbusha miaka kadhaa ilipopita pale ndugu...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Naomba nianze kwa kusema hakuna aliyemkamilifu chini ya jua na siku zote mtu mwenye hekima anapotambua mwenyewe kuwa amekosea au kuonyeshwa na mtu mwingine kosa hujirekebisha na kisha kusonga...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Waliokuwa Wanasema oh Mnyika haleti Maji Ubungo.. Semeni tena sasa. Maana Kelele ni Nyingi... SUBIRA YAVUTA HERI... Si kelele tu
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Akili Ndogo Kuongoza AKILI Kubwa, 2005/2006 Budget ilikuwa 4 Trilion, Afya 300 Bilion, 2012/2013 15 Trilion Afya 1.2 Trilon. Kwa Hesabu zangu za kanumba ni Pungufu ya More than 0.5%. Alafu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wandugu mimi naomba kuuliza,mbona naona asilimia kubwa ya mawaziri na manaibu wazili waliopigwa chini hivi majuzi mbona wanakaa situ za nyuma kabisa?,au ndio mpalio,au wanaona soni?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa vigezo vyovyote vile, hali ni tete sana hapa nchini mwetu.Mifarakano ya kila aina inayoikabili nchi yetu inatishia kumega taifa ili katika vipande vipande. Kuna mgawanyiko kwa msingi wa kipato...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo hapa Ludewa Kijiji Cha Mlangali, watu wanafuatilia Bunge katika kilabu cha pombe watu ni wengi wanatoa maoni yao kuwa sasa CCM inabanwa sana Bungeni Mpaka mwenyekiti anatoa matusi ambayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana Bunge liliboa sana hasa huyu mheshimiwa kuonesha upendeleo wa waziwazi! mh Manyanya kaizungumzia hoja ambayo iko mahakamani ingekua ni upande mwingine ungesikia hoja iko mahakamani! ila sisi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa jinsi wanavyoonekana,pamoja na kufanyika madhila mengi,watanzaniania wasionwe mabwege. Kwani ilisemwa kuwa... Kimya kina mshindo mkuu, ndivyo wambavyo wavyele; Kimya chataka kumbuu, viunoni...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali ina mpango wa kuagiza madaktari kutoka Iran kuja kuziba pengo lililotokana na Madaktari waliogoma. Nina maswali machache naomba Wanajamvi mnisaidie: 1. Kuna mikakati gani ya kuhakiki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwasisi wa Chadema, M/kiti wa Chadema Taifa, na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni heshima yako. Leo naomba nikusumbue kidogo kuhusu salamu mpya ya kitaifa. Hoja yangu; Nchi yetu haina...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Tue, Jul 3rd, 2012 Headlines / Tanzania | The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe, has pledged the government's full commitments to facilitate the work...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mambo kadhaa ambayo ningependa kuyatolea maoni kwa namna tofauti kwani tangu siku ile ya Jumatano usiku sijapata muda wa kutulia kuweza kuweka mawazo yangu juu ya yanayotokea. Baada ya kusoma...
20 Reactions
52 Replies
5K Views
Kama wasaidizi wa rais wamechoka kiasi cha kuongea mambo yasiyoendana na sifa na vyeo vyao ni janga kubwa kwa taifa hili la ulumwengu wa tatu.msaidizi wa rais mathalani stella manyanya-rc -rukwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauliza kwanini au kuna nini nyuma ya ripoti hiyo?A
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom