Hivi jamani mnaonaje kuhusuniana na hii kambi rasmi ya upinzani bungeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi jamani mnaonaje kuhusuniana na hii kambi rasmi ya upinzani bungeni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr.genius, Jul 4, 2012.

 1. Mr.genius

  Mr.genius JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 60
  Mi naona ni kambi isiyo na ustaarabu, ukiifanananisha na iliyokuwa kambi ya zamani ikiongozwa na cuf kuliko hii ya kuongozwa na chadema!
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Ndani ya miaka miwili tu wenzako wameleta vuguvugu lilozaa mchakato wa katiba mpya,wamewajibisha mawaziri 6, wameweza kusababisha mabadiliko ya budget ya mwaka huu,wameweza kuienyesha serikali mpaka kupunguza bei ya sukari mwaka jana, wamesimamisha mabadilko ya muongozo wa katiba mpya, wameweza kufika ikulu kujadili mustakabali wa katiba na kumshawishi rais kutia wajumbe kutoka upinzani ndani ya tume ya katiba. wameweza kuwaelimisha wananchi kuhusu kudai haki zao ikiwemo wananchi kuanza kudai kuona kilichomo kwenye mikataba. kwa mara ya kwanza ndani ya historia ya Tanzania waliweza kuunganisha nguvu na wabunge wengine ikiwemo CCM kuleta mjadala wa kumpigia waziri mkuu vote of no
  confidence haijawahi kutokea ndani ya historia ya nchi yetu. na hii ni miaka miwili tu huko tunakokwenda kaa mkao wa kula tarajia mengine mengi na makubwa zaidi ya haya.

  labda ungetoa ya kwenu cuf mlichokifanya katika kipindi chote cha miaka 10.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  tulieni tuwanyooshe.
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ile kambi ya upinzani ya zamani yenyewe ili leta mchakato wa mahakama za kadhi Pamoja na kugomea sensa
   
 5. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hapa nadhani zinaimbwa nyimbo mbili tofauti. Mleta mada anaongelea ustaarabu. Wachangiaji wanaongelea mafanikio. Natoa tahadhari tu, mwelekeo usipotee. Haya, mjadala mwema. Asanteni.
   
 6. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  CUF mmeshaolewa, wacha linganisha nyie ma-cameroon na CDM wewe!!
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,806
  Likes Received: 36,844
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi mtu anayesema ukweli kupita kiasi huonekana amekosa ustaarabu, na yule anayehofu kusema ukweli na kukaa kimya bila kuleta challange hudhaniwa kuwa mstaarabu.
  Akili ku mkichwa.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 8. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ni hivi katika matazamo wa watu wajinga kudai haki ni kukosa ustarabu,sasa angalia mwisho wake CUF wamekuwa CCM B
   
 9. MC babuu

  MC babuu Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MC BABUU: wakati mwingine uwe unafikiria kidogo japo sio kawaida yenu magamba,waswahil husema ustarabu ni kukaa kimya.kweli kambi ile iliyopita ya uamsho walikuwa wastarabu sana sababu wakipewa nafasi ya kuongea wao nikupongezana tuuu.wapinzan wa sasa sio wastarabu kabisa sababu wanaongea vya kweli bila kuogopa paka ccm wenyew wanakir nchi haitawalik
   
Loading...