Machali atolewa nje ya bunge kwa utovu wa nidhamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Machali atolewa nje ya bunge kwa utovu wa nidhamu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tume ya Katiba, Jul 2, 2012.

 1. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,710
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  LIVE, bungeni Machali katolewa nje ya bunge kwa utovu wa nidhamu.

  Asante mwenyekiti, Lazima nidhamu irudi bungeni
   
 2. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Who is Machali? from which party?
   
 3. gody

  gody JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145

  walisema swala la ma dr migomo ipo/lipo mahakamani sasa limekuwaje waanze kusema Cdm inahuska au ina lakusema kutokana na migomo!

  wamewawasha moto sasa siri zote zitafchuka !!!
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,271
  Likes Received: 4,711
  Trophy Points: 280
  Huyo mama Manyanya ni kilaza wa mwisho.
   
 5. a

  andrews JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,682
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tulisema chadema sio akina john komba,profesor maji marefu na takata nyingi ndani ya ccm chadema kichwa kimoja ni sawa na wabunge 50 wa ccm hivyo tume ya katiba poleni sana mnaumbuka mchana kweupe
   
 6. gody

  gody JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145

  kawasha moto af kashindwa kuuzima!
   
 7. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  it was not fair,wamemwonea machali, kama utovu wa nidhamu basi stella manyanya na mwigulu chemba ndio hawana disciplin. kwani huyu stella manyanya ni injinia wa nini? au injinia wa majungu na umbea?
   
 8. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 2,901
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Nidhamu ipi ya upande mmoja?...
   
 9. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,398
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hadi pale vyama vya upinzani vitakapokuwa na viti vingi ndipo demokrasia itaonekana bungeni,Vingenevyo zidumu fikra za mwenyekiti,naunga mkono hoja 100% na pongezi kwa serikali SIKIVU (dhaifu) itakuwa ni misemo ya kudumu.Na wale watakaoenda kinyume na hayo watakuwa watovu wa nidhamu daima kwa mujiba wa viongozi wa Bunge ambao wanatumia fursa ya bunge kuitetea serikali.
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Ameharibika sana huyu mama! Huko nyuma hakuwa hivyo. Nikikumbuka alivyoshiriki vizuri kwenye tume ya Mwakyembe, siamini!
   
 11. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 972
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukandamizaji Bungeni una mwisho nao ni 2015
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,549
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  wabunge wote wa Magamba hatudanganyiki! Matomato mp*uuzi tu na Chemba dhaifu na mp*uuzi
   
 13. aye

  aye JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,867
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  tunaitaji upinzani zaidi bungeni wabunge wachache wa cdm wanawatoa jasho hasa magambabadala ya kujibu hoja wanaleta shutuma zisizo na msingi
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,549
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  pole mheshimiwa Machali
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Dogo Machali kafanyaje?
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,837
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Duhh magamba wanajifia taratibu
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Mama anataka uwaziri
   
 18. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ccm ndo inaishia hivyo waacheni wafe wenyewe.
   
 19. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Safi anayejamba anatolewa nje bunge ni mahala pa heshima kwnn ajambe
   
 20. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,965
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Tangu alipofukuzwa Zitto Kabwe Mwaka 2007 hali ya nidhamu ikoje? Hali ya CCM ikoje ndani na nje ya Bunge? Yule Mwenyekiti ni hopeless sijapata kuona
   
Loading...