Mbunge wa Bariadi na Mwenyekiti wa UDP John Cheyo ameshambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM bungeni jioni hii kwamba kinachochea mgomo wa madaktari nchini na kinapaswa kuacha mara moja.
Cheyo pia ametumia muda mwingi kusifu hotuba ya Rais aliyotoa kuhusu madaktari na akaomba wananchi wote wamuunge mkono Rais kwa hotuba yake nzuri.
Kwa maneno yake hayo ya leo Cheyo anaungana na wabunge wa CCM na CUF kushambulia CDM bungeni huku wakiihami Serikali.