Mbunge Achora Mtumbwi kuonesha hisia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge Achora Mtumbwi kuonesha hisia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Jul 3, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wana JF nipo hapa Stand kuu(Tanga)naangalia Bunge,katika kuhitimisha Hoja,Naona Waziri mwenye dhamana (Celina Kombani)anasema Mbunge wa Nkasi amechora mtumbwi kuonesha hisia za matatizo katika jimbo lake,Kesho naomba tutume picha halisi za matatizo yetu kwa wabunge kuepuka Wabunge wetu kuchora picha,mie Mbunge wangu Maji marefu Mkono wake wa kulia umevunjika hawezi kuchora.
  Vipi Mbunge wako?
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Anaitwa kessy mohammed Ali
   
 3. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hujaeleweka
   
Loading...