Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

................................................................
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg wanaJF , Ni wakati mzuri sasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 na mwaka 2010 ambazo zilimweka kikwete madarakani kwa tiketi ya CCM, tukaangalia nini kilimweka mwaka 2005 na nini kilimweka...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
MBILINYI AFANANISHA WALIOMTEKA NA JANJAWEED, WAZIRI NAGU AINGILIA KATI KITENDO cha kutekwa nyara, kuteswa na kisha kuumizwa mwili mzima, kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taifa la Burundi limemtunukia Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere Tuzo la juu kabisa ambalo Burundi hutoa kwa watu mbali mbali kutokana na mchango wake katika kuleta uhuru na baadaye kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ilikutana tarehe 28 Juni 2012 kujadili na kutathmini hali ya utendaji na utoaji wa huduma hivi sasa katika Hospitali. Imebainika kwamba utoaji...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Ukitaka kujua kero na madudu ya wanasiasa wetu fuatilia vikao vya bunge
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Heshima kwa wana JF wote. kiongozi bora nani awezaye kumjua kila siku huku tunakukata na kero za A kesho B ni wapi tunapofanyaga makosa kuwapa madaraka na end of the day inageuka kuwa hasira na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilisikitishwa sana na udhaifu wa M/kiti wa bunge wa kikao cha jana jioni jinsi alivyokuwa mshabiki wa vituko bungeni hadi kupelekea kushindwa kuongoza kikao. Leo hali hii imejitokeza tena kwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
I've very few minutes to write the lasting message to ALL Tanzanians especially YOUTH. Girls & Boys wake-up, let us join the allies of our fellow Young Parliamentarians showing concern on Gas &...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Orodha ya watu ambao walifanya mambo mabaya Tanzania na wakatoroka au kutoroshwa: 1. Chada 2. vithlani 3. Balali.........Endelea kutaja. Labda Msangi WAMEM BALALI?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika gazeti la Jambo Leo Mh. Anna Kilango amedai CDM hawawezi kuchukua jimbo akiwa bado hai.kwa maana nyingine yeye ni Mbunge wa Maisha wa Same Mashariki!! Mama Kilango anajiamini nini wakati...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Madaktari wamegoma ,watz wamekufa lawama viongozi Kwenye mahospitali hakuna vifaa vya kutosha kama TC scan WALA VITU VINGINE VYA DISAIGN HIYO LAWAMA VIONGOZI... TUNA LIBARAZA LIKUBWA LA MAWAZIRI...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII INAWATANGAZIA MADAKTARI WOTE WANAOFANYA MAFUNZO KWA VITENDO (INTERNS), WALIOPEWA BARUA ZA KURUDISHWA KWA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
tambueni hapo mlipo mlifikishwa na serikali ya jamhuri ya muungano wa tzn kwa nin sasa mnakiuka kiapo ambacho mliapa kabla ya kuanza kazi je ingekuwaje kama serikali isingewafadhili hamkujua kama...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
MAONI YA MBUNGE WA UBUNGO KUHUSU HOTUBA YA MH. DKT. JAKAYA KIKWETE RAIS WA TANZANIA KWA WANANCHI TAREHE 30 JUNI 2012 Leo tarehe 1 Julai 2012 kumesambazwa katika mitandao ya kijamii na...
8 Reactions
102 Replies
9K Views
Jamani huu upuuzi mpaka lini??
0 Reactions
181 Replies
12K Views
jamani hivi hii mishahara ya wana tume ya kukusanya maoni ya kuandikwa katiba mpya wanastahili au imepitiliza kiwango cha kawaida?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani wana jamvi, naomba kama kuna lolote kuhusu kikao cha leo cha madaktari atujuze tamko lao. je wamerudi kazini au wanaendelea na mgomo?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Serikali dhaifu+mahakama dhaifu+bunge dhaifi=? Naombeni majibu hapa ili tuzukue maamuzi mazito.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Source: Report describes brutal torture in Syria - CNN.com
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom