Wabunge wa Tanzania ya 2012 hawajui Kiingereza?

Don Draper

Senior Member
May 30, 2012
176
87
Mods naomba mbadilishe iwe KISWAHILI

Nimeghafilika kiasi....na members wengine niwieni radhi...

Hii slave mentality na low self esteem tutaachana nayo lini?
 
Well; kwa vile miswada yetu ya sheria inaandikwa kwa kiswahili, huwa haiingii akilini mwangu kuwa watu wanaojadili miswada ile na kuipitisha kuwa sheria hawawezi kujadili kwa kiingereza. Au hawawezi kusoma hansard kuhakikisha kuwa zimeripoti michango yao bungeni sahihi.

Kujua kiingereza siyo sifa kubwa lakini ni ya muhimu kwa wabunge wa Tanzania hasa kwa vile kiingereza ni mojawapo ya official languages zetu.
 
Back
Top Bottom