Simple And Clear: Mwingulu anafaa kupewa uwaziri gani japokuwa hawezi kuupata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simple And Clear: Mwingulu anafaa kupewa uwaziri gani japokuwa hawezi kuupata

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mosachaoghoko, Jul 3, 2012.

 1. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi anavyo onekana kweli huyu jamaa atabaki kutamani uwaziri kama u****** wa Mtoto mdogo akigusa tu kabaka na adhabu yake ni maisha jela na kazi ngumu pamoja na kuchapwa viboko 12 siku ya kuingia na siku ya kutoka fimbo 12 ili akamuonyeshe mke na watoto wake
   
 2. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Uwazili wa wanawake na watoto na kujipendekeza pendrkeza
   
 3. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Anawakilisha alichotumwa na wananchi waliomchagua
   
 4. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wa kuzoa takataka!.
   
 5. p

  politiki JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kwani kutembea na wake za watu ni sifa ya kukupa uwaziri au ipi kwa mujibu wa mbunge msigwa.
   
 6. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Waziri anayehusika na uropokaji na kujipendekeza pendekeza pamoja na kujisifia sifia.
   
 7. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena huo! ataharibu mbaya kwani yeye mwache abaki akiongoza familia yake tu
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  nini hiki?
   
Loading...