Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Aisee kumbe Mwigulu Nchemba hana akili kabisa. Anahitaji kupelekwa Mirembe CCM inakufa anaamua kutupa matope Bungeni kutukana upinzani waigizaji na vichaa na eti wana pepo mtaka vyeo.

Hasira zake nafikiri ni failure kule arumeru. Anataka kurudia yale ya Lusinde arumeru ama kweli CCM imekwisha. Ametupa bajeti ya Upinzani na kuiita rubbish
 
huyu jamaa anaongea lugha kali, si matusi ya moja kwa moja kama yale ya lusinde lakini kwa mtu anaeunganisha dots jamaa katukana sana CDM

Sasa anatakiwa afute neno Pepo, miongozo inaombwa jamaa anasuasua kufuta neno.
 
wakati akichangia amewatukana wapinzani na kuwaita Waigizaji, Wanafiki na wanaopaswa kuwa Mirembe!
 
huyu jamaa anaongea lugha kali, si matusi ya moja kwa moja kama yale ya lusinde lakini kwa mtu anaeunganisha dots jamaa katukana sana CDM

Sasa anatakiwa afute neno Pepo, miongozo inaombwa jamaa anasuasua kufuta neno.

iweke vizuri mkuu
 
Lissu nae katoa matusi na kaambiwa afute, katumia neno 'silly'
naona mipasho inatikisa bunge.

Nchemba anasema Mbowe alirudisha gari la zamani kachukua jipya na kali zaidi
 
atupa bajeti mbadala ya upinzani akifoka kuwa ni rubbish!
si muda mrefu wabunge watatiana ngumi!
 
mwigulu anatamani arushe ngumi,
sasa nazidi kukubali kuwa bunge letu ni the commedy!
ngoja tuendelee kuona uhondo!
 
nimemsikia huyu jamaa nlikuwa simfahamu sijaona mbunge mjinga na anaeamini ujinga wake kama huyu'hajitambui kabisa
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Nafurahia sana anavyoongea kwa kuwa Watz wanazidi kuifuta sisimwewe kwenye akili zao, huyu jamaa anapaswa kupimwa akili!!!!!
 
Mheshimiwa Mwigulu nahisi anaupungufu wa akiri maana badala ya kuchangia hoja au kuipinga kageuza kibao na kuanza kuwashambulia wabunge waliopinga na kuwaita shetani haitoshi kaamua kuitupa bungeni bajeti ya upinzani na mwenyekiti kagoma kabisa kupokea mwongozo wowote ule na kuacha wabunge wakigeuza ukumbi wa bunge kuwa comedy,this is silly parliament
 
Lissu nae katoa matusi na kaambiwa afute, katumia neno 'silly'
naona mipasho inatikisa bunge.

Nchemba anasema Mbowe alirudisha gari la zamani kachukua jipya na kali zaidi

kwani alirudisha na kuchukua kwa nani? mbona wanajitukana hawa? then "silly" means Lacking seriousness; given to frivolity
 
nchemba mapovu yalikuwa yanamtoka, jamaa keshasoma alama za nyakati, M4C si masikhara!
 
Hana lolote bado ana hasira za kugararizwa vibaya kule arumeru mshariki
 
Bora wazipige watie adabu,kwa matusi haya na ushabiki wa kisiasa kweli wananchi tutaambulia kitu kweli,bajeti ni mbofu mbofu ila ccm wanaunga mkono mia kwa mia.
 
Huyu jamaa anajiita eti msomi wa uchumi daraja la kwanza. Nasubiri waliosoma naye watamchambua vipi.

Hivi angelikuwa mchumi kama Prof. Lipumba (na yeye mpinzani, SIJUI KASOMEA WAPI?) angelituambiaje?

Nilikuwa nafikiri kwa CCM ni Lusinde tu ndiyo Mropokaji kutoka Mirembe aahhh, Dodoma.

Ila kumbe Singida nayo si mbali sana na Mirembe ahhh Dodoma. Nafikiri hii itaingia kwenye historia.

Tundu Lissu kama Mwana Sheria aliyebobea, amewaTEKENYA kidogo tu akina Mwigulu na huyu jamaa na usomi wake, bila kujua mitego ya Wana Sheria, kauvaa mkenge na kuanza kuropoka kama jamaa yake Lusinde.

Mwigulu, wewe rudi tu BoT na haya mambo ya Siasa, waachie wenyewe maana huyawezi. Huyu jamaa hadi anatia hutuma na kaishia tu kuambiwa afute kauli zake. Mwenzie Tundu Lissu kaweka vitu watu kimya. Kamwaga radhi kwa kuliponda Bunge (pamoja na yeye mwenyewe), CCM, Serikali na viongozi wote kwa ujumla.
 
Mbunge Wa Ccm iramba mashariki achana bajeti mbadala ya kambi ya upinzani bungeni alipokuwa akichangia na mawaziri Wa Ccm wamtunza pipi na pesa akiwemo Naibu Wa elimu murugo na viki kamata pamoja na zawadi ya pipi shame on u
 
Back
Top Bottom