Ombi kwa Serkali iwalinde madaktari wasiogoma,na wanaogoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi kwa Serkali iwalinde madaktari wasiogoma,na wanaogoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Andrew Nyerere, Jul 4, 2012.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Kazi ya Polisi ni kufukuza na kukamata wezi. Mkuu wa Mkoa na Kamamda Kova wanaposema kwamba kuna madaktari wanawatishia wenzao wanaogoma,hili jambo ni bora lingetamkwa na madaktatri waliotishiwa.
  Kwa sababu hakuna mtu anayeuchochea mgomo huu. Kusema kwamba wanaogoma watakuwa ''hawana kinga'' kutoka kwa hao waliowachochea ni kupotea kabisa. Hawa madakatari kugoma kwao kunategemea iwepo skeleton crew iendelee kufanya kazi. Kwa nini wawashambulie wenzao wanaofanya kazi.
  Huu mgomo unaelekea kuisha lakini yanasemwa maneno[na yanafanyika matendo] haya ambayo yanaleta escalation Kwa nini Chadema wachochee mgomo? Chadema wanapata faida gani wagonjwa vitandani hospitali wakiambiwa mgomo huu unaletwa na Chadema?
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hujui kwamba faida hapo ni kuugeuza mgomo huu kuwa political capital? Na wewe unadhani waliotishiwa hawakusema? Sasa unadhani Kova kapataje habari? Fungua macho uangaze huku na kule wewe!
   
Loading...