Janjaweed wa serikali ya ccm

baajun

Senior Member
May 19, 2012
199
6
Tanzania imefika sehemu ambao lazima tuiadabishe serikali hii.Tukikaa kimya janjaweed watakuja kwako au ndugu yako.Tushirikiane wote kukemea na kuwatenga hao janjaweed na serikali ya ccm.Matukio yaliyopita ni mengi na kwa hakika inaonyesha serikli kuwa na mkono wake.Sasa tusikae kimya hawa magamba wamekuja na njia nyingine ya kuwaogofya watu.Sasa tusimame wote hata ukikutana nae barabarani awajue hatukubali ushenzi uuaji ,
 
watatupeleka wote mabwepande itawezekana kweli?? kwani MUNGU AMELALA??
 
Ni kweli ndugu yangu. Kila mmoja wetu anapaswa kuwa macho na wauaji hawa. Tukiwachekea tutaangamia. Serikali hii ya kidhalimu imeshindwa kutimiza wajibu wake na sasa inaanza kuzima fikra mbadala kwa njia ya mauaji. Tuko tayari kwa mapambano ya aina yoyote. Liwalo na liwe.
 
Waziri wa mambo ya ndani yuko wapi kuzungumzia hili? ili kututoa wasiwasi raia
 
Serikali lege lege inaweza kutuangamiza tusipokuwa makini, viongozi wetu wanakuwa kama ndio wenye hati miliki ya hii nchi na sisi ndio tumekuja kwa bahati mbaya .hawaheshimu mamlaka tuliowapa nadhani ni wakati wa kuwanyanganya.
 
Back
Top Bottom