Leo CHADEMA itafanya mkutano KARIAKOO SOKONI. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo CHADEMA itafanya mkutano KARIAKOO SOKONI.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlisa, Jul 4, 2012.

 1. M

  Mlisa Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA Leo saa nane mchana itafanya mkutano wake Kariakoo sokoni na Afande Lema. M4C at work
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hii safi. Ni vema akagusia namna wafanyabiashara wa Kariakoo wanavyosumbuliwa na kodi, wakati makampuni makubwa yanapata misamaha.
   
 3. O

  Original JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kila siku mikutano watu watafanya kazi za kuzalisha saa ngapi?. Chadema kweli wanaboa.
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Afadhali waswahili nao wahubiriwe neno la uzima, maanake?
   
 5. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kariakoo PIPOOOOZZZZZZ?
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kuna haja gani ya kuzalisha halafu kinaibwa chote na kupelekwa uswisi kwenye mabank ya accounts za mafisadi?
   
 7. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Afande Lemaall the best,
   
 8. MC babuu

  MC babuu Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunajua magamba pia yamo uku yanajifanya mara oh kila siku mikutano kwan umelazmishwa? Ka vp potezea ila sisi tunaotaka mabadili ahhh haujatushawishi bado piiiipoooooooz?
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Waacheni watu wafanye kazi mnawapa usumbufu Wananchi sasa Kariakoo huo mkutano utafanyika sehemu gani mnataka watu waibiwe vitu vyao pamaja na magari yao.
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kumbe Chadema ni Wazungu.
   
 11. h

  hans79 JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Vp safari za jk nje?ni kheri mikutano kuliko kukimbia matatizo.
   
 12. h

  hans79 JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Sio mkutano ball kikao sehemu za kazi.
   
 13. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  bora waanze kujisogeza na kwa waswahili
   
 14. A

  Akida kaka Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  "kuzalisha" kwani hawa wameajiliwa wodi ya wazazi? Sio
  kazi yao hiyo
   
 15. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Wakuu huo mkutano vp? haupo tena
   
 16. a

  andrews JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​na nyie mnaoiibia taifa hamuwapi usumbufu mafisadi wa ccm mnaogopa m4c
   
 17. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  leo ccm walikuwa na maadamano mwanza nimeenda na nimepokea sh 5000 nikala kona,kula ccm kura cdm
   
 18. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Duh, huyu Lema ni kukamua kila mahali. Mara Tabata, Ilala Bungoni, Mchikichini, sasa Kariakoo, na kuendelea...
  Nadhani sasa wataona kuwa afadhali alivyokuwa anabaki Bungeni, kwani sasa ana muda wa kutosha kukamua nchi nzima.
   
 19. a

  andrews JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ?ccm ni ya wahindi wezi?
   
 20. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mbona wewe huendi kwenye vikao na kushinda ofisini ukichat facebook......huwezi itenga siasa na maisha ya mwanadamu
   
Loading...