Naanda kitabu wana JF nataka input zenu lakini pia nikipata inputs nazifanyia uchunzuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naanda kitabu wana JF nataka input zenu lakini pia nikipata inputs nazifanyia uchunzuzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lastname, Jul 4, 2012.

 1. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Katika kuelekea ukombozi nataka kuanda kutabu ambacho kitawaelezea viongozi kuanzia ngazi ya ubunge mpaka urais, kauli tata walizowahi kuzitoa, maamuzi tata waliyowahi kuyatoa, michango yenye mlengo wa ukombozi na ile isiyo na mlengo wa ukombozi wa mtanzania maskini ili vitu kama hivyo vikae katika kumbukumbu mpaka vitukuu wao waje wasome na kujua babu zao walivyokuwa. Hii itawaondolea heshima katika jamii zao na hawatakuwa na nguvu ya kujivunia tena utajiri au uongozi walionao, ni psychological torture ambayo tunaweza anza nayo.
   
 2. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Leta kwanza heading ya kitabu ndio tuchangie
   
 3. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hizo ndizo inputs nazozitaka, ningekuwa najua kila kitu nisingeuliza
   
 4. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kama makosa ya uandishi unaanzia hapahapa tena kwenye heading kweli hata huo uchunguzi utaeza ndugu
   
 5. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mimi sio mwandishi ila nita engineer tu, kupata contents nzuri then professionals watamalizia kazi, usihofu.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Yaani hadi title ni input mojawapo? Kiboko!
   
 7. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mkuu 'unaanda' au 'unaandaa?' hicho kitakuwa 'kutabu' au 'kitabu?'
   
Loading...