Ushahidi wa Mwigulu Nchemba kuhusika na EPA huu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushahidi wa Mwigulu Nchemba kuhusika na EPA huu hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, Jul 3, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Leo hii Bungeni Mbunge wa Ubungo Ameambiwa kuwa alete ushahidi kuhusiana na MWIGULU NCHEMBA kuhusika na EPA. Ili kupata ushahidi unaokidhi neno "kuhusika" inabidi lipate maana sahihi kwa maana inayozoeleka ni kweli MWIGULU NCHEMBA amehusika katika EPA kwa hoja zifuatazo

  Mosi kwa kuwa yeye ni mbunge wa CCM, na ufisadi huu umefanywa chini ya uongozi wa CCM ambayo imeshindwa kuchukua hatua madhubuti basi naye anahusika katika hili.

  Mbili kwakuwa yeye ni mbunge wa CCM ambaye anatumia muda mrefu Bungeni kuongelea mambo yasiyo ya msingi na kuacha kujadili mambo ya mzingi kama EPA na mengineyo basi naye anahusika ili kukwepesha suala la EPA lisijadiliwe.

  Tatu kwa kuwa MWIGULU NCHEMBA ni Mtanzania basi Ameathirika kwa namna moja au nyingine na EPA, kWA shari au baya katika EPA hivyo amehusika katika matokeo ya EPA .

  Nne kwa kuwa yeye mwenyewe hata kabla hajaulizwa amehusika vipi na lini? kwa uwizi huo kaanza kusema kuwa yeye amekuwa mfanyakazi wa BOT baada ya Fedha hizo kuibwa hivyo hausiki na ameanza 2006 kazi BOT majibu haya yanatia shaka kwani hata leo mtu anaweza akahusika na EPA kwa mfano kuficha ushahidi, kutumia fadha zilizotokana na EPA nako pia nako kuhusika. Hivyo kuwa Mfanyakazi wa BOT katika mlolongo huo ni dhahiri MWIGULU NCHEMBA kahusika.
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Bila bila, Mnyika kachemka
   
 3. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Mh!!!!!!
  Ushahidi ulio uleta mkuu hauna mashiko!!!!
  Mh Mnyika aliitoa kama tuhuma,na nina uhakika ana ushahidi mzito na wenye nguvu kuliko ushahidi dhaifu ulio utoa
   
 4. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umechemka
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwenye hili Mh. Mnyika aka Mh. Washwa washwa akifuata haya majibu ameumia, kwa kweli Mh. Washwa washwa ana kazi ngumu kuthibitisha juu ya Mchemba, kwa sie watoto wa mjini tunasema ameingia choo cha kike aisee
   
 6. M

  Musoma Senior Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 60
  Mnyika naye sasa amekuwa mropokaji na msahaulifu kama baadhi ya viongozi wake wa CHADEMA!

  Mwigulu,Nape na January ambao ni miongoni mwa Vijana makini wa CCM na hazina ya viongozi wakuu wajao wa Taifa hili wamewafanya kina Mnyika na CHADEMA (sema SACCOS) yao sasa kuweweseka!

  Tatizo lenu vijana mlioko CHADEMA mnadhani nyie pekee ndio makini,kumbe wengi mnabebwa na upepo tu hamna lolote!
  Kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi na jinsi Wtz walivyokata tamaa ukiona kijana wa CCM anaongea na kueleweka basi jua ana uwezo mara kumi ya Vijana Waropokaji wa CHADEMA aina ya Mnyika! Eti nalo mtabisha!
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hujui maana ya ushahidi.

  Mie nilishawaambia, Mnyika ana matatizo ya kichwa, kama mnabisha mtakuja niambia maana siku hizi amebadilika sana, Jee, hatumii vidonge ambavyo kwa sasa ameacha kuvitumia?
   
 8. m

  mdoe mchaina Senior Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akidhibitisha kama kweli mguu wa chabo kahusika na epa basi hututolisikia bungeni ila akishindwa kuthibitisha tutaliona bungeni wakilirejesha na kumpa adhabu kulingana na vifungu. Bado nakumbuka Kamanda lema na kauli ya uwongo ya liwalo na liwe.
   
 9. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  utaona kama karopoka au laa epa ni mtandao mrefu
   
 10. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tusubiri tuone, labda ataibuka na video ya Igunga na my wife wa mutu!
   
 11. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Tumewasikia tunafanya upembuzi yakinifu tutaunda tume kumchunguza
   
 12. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Unamjibia Mnyika? Kwani amekwambia Hana vithibitisho? Mbona sababu zako ni feki, lol.
   
 13. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wewe ndio hujui Kasome SARKAR na EVIDENCE ACT utajua ushahidi nini ?
   
 14. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Khaaa.......kweli mwamba ngoma ngozi huvutia kwake? Mwigulu, nape Na january ni Vijana makin, ye uwiii.
   
 15. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  sijamjabia mnyika hata kidogo huo ni mtazamo wangu kuhusu kuhusika kwako
   
 16. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  choo cha lkike lakini haja yake si amemaliza?
   
 17. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  mwinukai Pamoja na maelezo yako nadhani ushahidi mzito wa namna Bw mwigulu anavyohusika umeuacha nje. Ikumbukwe kuwa CCM ndiyo iliyofaidi fedha za Kagoda na ndiyo waliyoitumia kupatia uongozi mwaka 2015. Mwigulu ndiye Mtunza hazina wa CCM, sasa by virtue of his position anachukua responsibility ya maovu yote yaliyotendwa na CCM. Kama CCM ina kana kuhusika na Kagoda, wailazimishe serikali yao iwakamate hao Kagoda na kuwafikisha mahakamani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wewe na Mwigulu ndio mmechemka baada ya kugundulika siri
   
 19. F

  Froida JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  haha Wabunge wa chadema waweweseke kwa empty tin like Muchemba halafu ukamfananisha na Janury what a credit are you giving to this fool Muchemba he has to define himself who is he by the way
   
 20. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye Red. Nadhani cha msingi ni kwamba unatambua kwamba wako makini.
   
Loading...