M4c ya chadema kiini cha mparanyiko/malumbano makali bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4c ya chadema kiini cha mparanyiko/malumbano makali bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, Jul 3, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wabunge wengi wa CCM wana hasira sana kwa vile majimbo yao yamepitiwa na M4C na kupoteza Wanachama wengi, Nimesikiliza kwa makini sana hotuba za wabunge wa Lindi na Mtwara, hakika lazima wailaumu CHADEMA, Hiyo si kwa CCM tuu bali hata CUF, Na kwakuwa M4C imekuwa tishio kila mahali imekuwa tishio kubwa kwa Wabunge hawa, mfano eneo Sikonge pale TABORA limeathirika sana M4C kitu kilichomfanya Mbunge wa Sikonge kurudisha mashambulizi Bungeni kwa wabunge wa CHADEMA

  MTAZAMO, JINSI M4C ITAKAVYOKAMILIKA AU KUZIDI KUKUA TUTUGEMEE WATU KUPIGANA BUNGENI
   
 2. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  kama ni kweli uyasemayo basi ukombozi uko njiani
   
 3. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mkuu haya ninayoyasema ni kweli waangalie wabunge wa Lindi na Mtwara lini wamewashambulia CHADEMA? waliishia tu kumsifu Raisi Lakini sasa lazima waishambulie CDM kwa ziara walioifanya theni waanze kuchangia bajeti. Pia angalia kila jimbo ambalo limepitiwa na CHADEMA kwa maana wakati wanapita wabunge wa CCM walipondwa na wakapondeka hivyo kwao Bunge ni sehemu ya kujituliza kwa lile lililo wakumba
   
 4. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Na bado watatoa mapovu sana ila laana yao inakwenda kuwatafuna na wadanganyika wanakwenda kuamka sasa....wametunyanyasa sana.
   
 5. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni kweli hata taisoni analijua hilo sasa ameanza kugombana hata na magamba wenzie.Anamshambulia esther bulaya eti anakuwa beneti na cdm na kuwavujishia yeti za magamba.So kila mbunge wa magamba ambaye amepitiwa na m4c amekuwa pilipili
   
 6. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,764
  Likes Received: 6,080
  Trophy Points: 280

  Mh! Mbona hiyo M4C hata kuingia haijaingia rasmi Tabora. Labda kama kuna underground movements zinazofanywa na wapiganaji wadogo wadogo huko chini. Matingatinga yenyewe yatakapoingia na kusimamisha rasmi nguzo ya ukombozi katika ardhi ya Unyanyembe si atakufa kwa kihoro huyo gamba. Kama alidani ana hatimiliki ya hilo jimbo imekula kwakwe.
   
 7. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Huyu analalamika na rasharasha mvua yenyewe bado mkuu
   
 8. a

  andrews JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]morogoro 2015
   
 9. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Aisee ni kweli kabisa nilikuwa najiuliza zile hasira ni za nini, sasa nimepata jibu kumbe ni maumivu ya M4C.Kweli magamba wameshikwa pabaya
   
 10. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  N a bado na kwa kupitia uwanja huu napend kumjulisha bwana Wiliam Lukuvi ajiandae kukabidhi jimbo la ISMANI asitegemee tena kuwahonga wagombea sasa hivi atapambana na chuma M4C are forever
   
 11. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Lini watafika tabora mjini?
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wakati hayo yanaendelea, Bananga na 'shujaa' Millya wanalia njaa na kutelekezwa kiasi cha kuwazuia wale ambao walipanga kuhama na kuwafuata wamewapiga stop!
   
 13. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wewe wasema
   
 14. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mbonna bado hata hawajngolewa kucha? meno je!
   
 15. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nikumbushe nikuchangie maana hiyo energy ilopo kwenye mashairi yako italeta tija pale bungeni
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Jamani wananchi wamechoka kudanganywa kwa miaka 50 sasa hivi wanatafuta mbadala wanahitaji mabadiliko ya kweli na si bla bla za eti chama cha upinzani kikichaguliwa vita itatokea huku wao wakijisahau kuwapelekea maendeleo wananchi wamechoka kusubiri
   
 17. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ng'oeni za wake zenu
   
 18. f

  fortunatis felix New Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NI KWELI HATA NYUMBAN HUKU MLEBA KUSIN CHADEMA INATISHA LA MSINGI TUNAOMBA MGOMBEA 2015 MAANA ELFU 2010 CHADEMA WALIONGOZA JIMBO ILO KWA KULA NYINGI ZA URAISI INGA KUTOKUWEPO MGOMBEA UBUNGE KUPITUIA TIKETI YA CHADEMA WANANCHI WA MULEBA KUSIN WANAAMU KUBWA YA KUONGOZWA NA CHADEMA ANGALAU KWA MWAKA MMOJA,. N.B. WABUNGE POSHO NDO HIZOOO ZIMEPANDA 10,000,000.MILION KUMI (SOURCE DR.UDSM and MP) WABUNGE PAMOJA NA WAKE ZAO NA WATOTO WANNE WANAPEWA BIMA ZA KUTIBIWA NJE NA NDANI YA NCHI.JE? CHADEMA MBONA AWALISEMEI LA POSHO NA LA BIMA.
   
Loading...