Wizara mbili siku moja tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara mbili siku moja tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bangoo, Jul 4, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ktk kikao cha bunge kinachoendelea Dodoma leo ni wizara ya mazingira na wizara ya muungano. Cha kushangaza mwenyekiti wa bunge ametangaza kwamba watajadili leo na kuhitimisha leo leo! Je ni sawa jamani wizara mbili kujadiliwa kwa masaa manne tu?
   
Loading...