January makamba for presidency....... Iam opposition member but i will vote for him!!!

karibu jukwaani! bwana fundikira ! post yako ya kwanza unampigia debe JM
 
Join Date : 4th July 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 0

ASHINDWE NA ALEGEE ALIEKUTUMA...
 
hata wamsimamishe nani! SIPIGII KURA CCM 2015! PERIOD! KAMA HAKUNA CHAMA CHA UPINZANI NI BORA NILALE HOME!
 
Wa Canada wa Barrick walimhonga dola milioni 5 sawa Tsh 8 bilioni ili aminyie kutetea sana maslahi ya Watanzania, kwanza arejeshe hizi pesa zetu
 
Post yako ya kwanza tu umekurupuka. Tutarajie nini tena toka kwako?
 
kuna tofauti gani ya tabia za Jk na January Makamba?
sioni tofauti
 
Wageni wengine bana..hata staha hawana siku ya kwanza tu huyoooo mpaka chumbani....Jifunze adabu bana.
 
Baada ya janga la miaka 10 (2005 - 2015) bado kuna watu wanahamu na janga jingine??
 
Back
Top Bottom