Anna makinda mbonamnapotosha bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anna makinda mbonamnapotosha bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jul 4, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ANNA MAKINDA,STELLA MANYANYA,MWIGULU NCHEMBA,JOB NDUGAI,JESTINA MUHAGAMA NA WENGINE WENYE UNAZI WA CCM TUNATAKA MASLHI YA NCHI KWANZA HATA CCM NA CHADEMA VIKIFA KAMA CCM INAVYOELEKEA KUFA TANZANIA ITABAKI MSITULETEE BALAA NCHI HII MAANA HATA SOMALIA WALIKUWA NA UTULIVU UPENDO NA AMANI CHINI YA SIAD BARE RAIS WAO KIPINDI KILE SASA NI SUALA LA MUDA TU TANZANI INAWEZA KUBADILIKA SABABU YA UNAZI WENU,TUNAJUA CCM HAMKO TAYARI KUACHIA MADARAKA LAKINI WANANCHI WAMEWACHOKA KABISA NA SASA MUANZE KUJIPANGA LABDA KURUDI MADARAKANI 2020 MAANA 2015 NI CHADEMA TU HATA MKIUNGANA NA CUF HUKU BARA NA VYAMAVYOTE VILIVYOBAKI BADO CHADEMA INA MVUTO WA NGUVU YA UMMA POLENI KWA KUNG'ANG'ANI MADARAKA:israel:
   
 2. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 160
  du! una hasira,ila ndiyo hivo inauma sana,watu wanaenda bungeni kutetea wakubwa na si kujali masilah ya wananchi
   
 3. a

  andrews JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  viongozi wa ccm 99%ni waongo,wanafiki na wanatumia ubabe badala ya busara na kwa sababu 95% ya wabunge wote wa ccm wameingia kwa rushwa nchemba akitaka ushahidi nitampatia kwa hilo hakuna jasiri atayejitokeza kulipinga kwani ndio ukweli na sas vitisho na wizi wa kura 2015 naamini kama wantumia ubabe damu itamwagika na huo utakuwa mwanzo wa machafuko kama yaliyotokea kenya wasicheze na watanzania ni wakimya lakini wamechoka na hili hata wale vibaraka wa usalama wanalijua watakaoumia ni baba,mama na ndugu zenu kuweni makini dhoruba linakuja aliyemo na asiyekuwemo jiandaeni kwa hilo:a s 465:
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Huyo bibi kazeeka!
   
 5. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  2015 wala hata sio mbali..bado miaka 2.5!
   
Loading...