Prof. Anna tibaijuka,-ulikuja moto sasa umepoa

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Mama Tibaijuka, tulikwambia kuwa hapa ni Bongo ya CCM, utapoa tu. uta-loose your credibility! utakuwa kama wao!! Na sasa umeshakuwa hivyo. Umegeuka mzuka wa kugonga meza kama wenzako. nimekuona leo unagonga meza kwa kitu ambacho Prof. kama wewe ulivyokuwa Habitat usingelipiga meza as asign of support. Ulikuja Moto sasa umepoa, na bado utakwenda hata kwenye kufanya ufisadi!!! Let us wait and see!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom