Wazanzibar mlionufaika na Muungano mko wapi?

yusufummaka

Member
Apr 7, 2012
30
20
Wako wanzanzibar ambao mafanikio waliyonayo leo yanatokana ama yalitokana na uwepo wa muungano huu. Chaajabu, sauti zinazosikika ni za wale ambao wanasema muungano haufai na hauna manufaa kabisa kwa Wazanzibar. Walionufaika nao mbona hawasikiki?
 
Ukweli haupingiki! ukimya ni ushahidi ya kuwa muungano huu hauna faida ! na hao wanaoukubali hawana hoja za msingi! na wengi wao wanasupport mfumo mgumba wa muungano ulipo! muungano basi poooo !
 
Angalia bunge utawaona humo. Maposho ya muungano si mzaha bana!
 
Back
Top Bottom