Hatimaye mabumba umekuwa msamiati mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye mabumba umekuwa msamiati mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, Jul 4, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Niko hapa Temboni Vijana wanajadili siasa zinzoendelea Bungeni, na kusikitishwa sana na kauli za Mabumba aliyoitoa kwa Mnyika, kiasi kwamba wanatumia jina hili katika ubishani kuwa wewe umeongea BUMBA kwa umoja MABUMBA uwingi ikimaanisha kuwa umeongea kitu cha ovyo au pumba.

  Kwa namna hii bila shaka majina ya wanasiasa wanoongea MABUMBA watakumbukwa kwa MABUMBA yao.
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Teheteheteheteheteeeeeeeeeeeeee na wewe BUMBA
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  We sema uko temboni uone kama ACP Msangi hajakwijia
   
Loading...