Masikini CUF, wapo bungeni?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Wamefunikwa, wakakubali na wakasinzia...

Wapi Hemed Rashid? Tangia kikao cha bajeti kimeanza sijawahi tena kuwasikia... wapo?

Angalau yule jamaa wa Lindi Mjini, na yule mama Viti maalum wa Tabora, nimewasikia mara moja.

CUF Vipi, Mpoooooo?
 
Wapo. Siumesikia wakisema mwenyekiti wa chama chako ni DJ?
 
haha haha ah, mwingine akasema hakuna mgomo wa madaktari, then akasifia kuwa na kiongozi Profesa,,,sasa huku CDM maprofessa si wapo karibu 100, Mnyika au Lema wana akili za kufikiri mara kumi ya Professa wa CUF..uongo kweli?
 
Wamefunikwa, wakakubali na wakasinzia...
Wapi Hemed Rashid? Tangia kikao cha bajeti kimeanza sijawahi tena kuwasikia... wapo?
Angalau yule jamaa wa Lindi Mjini, na yule mama Viti maalum wa Tabora, nimewasikia mara moja.

CUF Vipi, Mpoooooo?

HAMAD RASHID nimegongana naye juzi (j3) katikati ya mji wa DAR anaendelea na maisha.
 
Ndo hivyo tena, tunamalizia "arobaini" za CUF baada ya hapo hata kwenye historia watatoweka! Cheza na "nyinyiemu" wewe!
 
Wapo katika kutafuta mafuta na kupata nchi yao kama sudani ya kusini walivyofanya. Together they stand.
 
Lipumba kaajiriwa na Maalim Seif ambae nae ameajiriwa na Waarabu Oman, ukweli ndio huo.
 
Nikimkumbuka Seif Hamad enzi zake..nikilinganisha na sasa alivyokuwa mpole then naanza kuamini siasa inahitaji umakini sana maana mtahangaika lakani mwisho wa siku wanafaidi wangine tena wanawasahau mliowaweka pale..
 
Wamefunikwa, wakakubali na wakasinzia...
Wapi Hemed Rashid? Tangia kikao cha bajeti kimeanza sijawahi tena kuwasikia... wapo?
Angalau yule jamaa wa Lindi Mjini, na yule mama Viti maalum wa Tabora, nimewasikia mara moja.

CUF Vipi, Mpoooooo?
unadhani siasa za BONGO zina tabirika!
hivi unawakumbuka NCCR mwaka 1995...... wafananishe na sasa
halafu piga picha chadema 2025....................!!
(natabiri kama chadema ikiangukia pua 2015..... basi itakuwa kama NCCR story yake!!!!!)
 
Kama hatutaki kuangalia hii mifano shauri yetu e.g Augustino Mrema, Tambwe Hiza, Masumbuko Lamwai, Steven Wasira just to mention some few. Jibu la haraka wanasiasa wengine wanaganga njaa once they are in kwishney...
 
Every person is corruptible... we only differ in price...
 
unadhani siasa za BONGO zina tabirika!
hivi unawakumbuka NCCR mwaka 1995...... wafananishe na sasa
halafu piga picha chadema 2025....................!!
(natabiri kama chadema ikiangukia pua 2015..... basi itakuwa kama NCCR story yake!!!!!)

Endelea kutabiri Mr sheikh yahya hussein, aka kajura.
 
Bunge siku hizi watu wanaangalia chadema vs ccm na nccr kidogo machali na mkosamali nawakubali sana.cuf,Tlp,udp, kwisna
 
Back
Top Bottom