Viongozi wasioongoza wao tuwafanye nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wasioongoza wao tuwafanye nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jul 5, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Aliposrma kuwa madaktari wasiotaka kufanya kazi katika mazingira yaleyale na kwa kamshahara kalekale wajiondoe swali likaumbika kwangu - je wale viongozi wasiionesha uongozi na ambao ndio tatizo la msingi la taifa letu tuwafanye nini? Au wanaondolewaje?
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ukigusa sula la viongozi na yeye mwenyewe aliyesema hivyo si yumo...hahaaaa JK bwana sijui kama huwa ana connect vitu vinavotoka mdomoni na kwenye ubongo...
   
 3. kiLimIlire

  kiLimIlire Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Viongozi wetu wa kisiasa hudhani kuwa nchi hii ni ya kwao, pasipo wananchi kuchukua hatua madhubuti za kuwapiga chini viongozi uchwara,tutaadhirika...
   
 4. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Tuwamwagee!
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kwani tuna viongozi????????
   
Loading...