Prof. Shivji adhalilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Shivji adhalilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiranja, Jul 4, 2012.

 1. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katika hali ya kushangaza leo jioni hii baada ya Mwanasheria Mkuu kushindwa kujibu hoja juu ya Muungano zilizotolewa na hotuba ya Kambi ya Upinzani (Lissu) amejikuta akisema kuwa Lissu amenukuu mwanasheria ambaye hakusoma katiba , nanukuu " kwa bahati mbaya umemnukuu Prof.Shivji, huyu alikuwa academic advisor wangu" lakini mbona hukunukuu wengine kama Prof.Kabudi, Dr.Mwakyembe kuhusu Muungano?.......huyu uliyemnukuu (Shivji) hakusomea sheria ya katiba ila ni mwandishi wa mambo ya katiba........."

  Kauli hii nimeiona ni kama tusi kwa Prof.Shivji ambaye ndio huyo huyo aliyewafundisha wakina Mwakyembe , Kabudi ,Werema ..kuhusu sheria na alikuwa mkuu wa kitivo kwa miaka nenda rudi.Kitendo cha leo kusemwa kuwa yeye ni mwandishi tuu na hapaswi kunukuliwa naona ni udhalilishaji mkubwa kwa huyu gwiji wa sheria na anayeheshimika ndani na nje ya nchi yetu.

  Nafikiri kuna haja ya kumpima huyu AG wetu ,


  Pili, kuhusu suala la Nahodha , leo kasema kuwa Lissu kasema ukweli lakini sio mara zote ukweli unapaswa kusemwa kwani unaweza ukaleta mitafaruku hivyo ukweli usiwe unasema sana .

  Nikagundua kuwa kumbe CCM uongo ni jadi yao na wanataka watanzania wote wasiuseme?

  Naomba kuwasilisha.
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Werema ni bure, most of his cases alizoamua zimekuwa quashed na court of appeal.

  Just google, you will see the truth of my statements. tunaomba CV yake! Katika intelectuals wa Tz wa sheria sijawahi kumsikia. Just google!!!
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Wala huhitaji ku-gogole kitu chochote kiongozi, rejea muswada wa katiba mpya ulivyokuwa mbovu, hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza could have done better!
   
 4. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1-ukweli ndio msingi wa njema zote za binadamu.


  2-bila ukweli maendeleo na kufaulu kwamaendeleo haiwezekani kimwili na kiroho

  kajizalilisha mwenyewe
   
 5. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huu ni upepo, utavuma na utapita, ilhali isije ukawa na kasi kuu, utandoka na wengi.
   
 6. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Werema ana wivu wa kijinga kwa Prof. Shivji, shame on him!
   
 7. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Huku kwetu ukweli ni kama kulala chumba kimoja na mama mkwe.
  Hii inanikumbusha Kolimba RIP
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Werema ni janga kwa taifa ataleta katiba mbovu kama kichwa chake
   
 9. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hapa nilichogundua ni kipindi cha prof cha kila jumatano ITV ndio tatizo hapa,
  kwani prof shivji anawafumbua sasa watanzania juu ya mambo meng sana juu ya muungano na katiba

  kwakua kuna ibara ya 18 ya katiba ya JMT wanashinda kupiga marufuku kipindi hicho......

  kamua prof achana na werema always wakulia ni police na wanajeshi na shangaa kwa huyu mtuuuuuu kua AG.
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hotuba ya Lissu ilikuwa sahihi na safi.
   
 11. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii ya Nahodha kudai ukweli ukisemwa sana unaleta mtafaruku imeniacha hoi.
   
 12. B

  Bonny msabby Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mimi nimeckia...
   
 13. i

  ithangaledi Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  du! kumbe uongo ni kazi ya magamba aisee duuuuuuuuuuuuuuuuuuu, hawa jamaa wachoka kufikiri kabisa
   
 14. hetu

  hetu Senior Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata mimi nilimsikia Nahodha akisema hupaswi kusema ukweli kwa kilakitu, kunawakati ukisema ukweli unaweza kuvuruga usalama (amani ) ya nchi. Wanajaribu kukwepa hoja zilizo wazi za Tundu Lisu. Na leo amewakamata kweli.
  Werema ni ziro kweli Kikwete ni kipofu kama mpaka sasa hajaona kuwa ana mwanasheria mkuu wa serikali ambaye ndiye mshauri na kiongozi mkuu wa sheria serikalini na hajui sheria au anatafsiri vibaya sheria za nchi, basi na kikwete mwenyewe ni zero.
   
 15. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nahodha ni mmoja wa watu wasioutaka muungano. mmeona alivyosita kutoa ushauri. eti ''ukweli usemwe lakini siyo sana unaweza kuleta vurugu na machafuko''
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  leo cjafuatilia series ya komedians, ila kwa uzi huu umetisha m2 wangu.
   
 17. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kikwete zero. hii mpya.
   
 18. H

  Hute JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  hakuna mwanasheria mkuu bogus kama werema, wale walioko kwenye kitengo chake ndo wanaelewa hili. kwanza analea magonjwa ajabu. nakumbuka kuna mwanasheria mmoja kule mwanza alikuwa incharge wa state attorney, ikatokea subordinate wake akaficha jalada baada ya kula mlungula, ilivyokuja kugundulika yule incharge alimuweka ndani...werema akaja juu na alimsumbua sana yule state attorney incharge....sitaki kutaja jina,kwa wale wanaofanyia polisi mwanza kama wlaikuwa wanaenda enda mahakamani au wako karibu na RCO watakumbuka hili.....sector ya state attorney ni mbofu mbofu kabisa hakuna lolote.
   
 19. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  chadema hatukosei tusubir 2015 tutaongeza winga chadema ni kama baca vile that why napenda kufutilia bunge now!
   
 20. Intellect

  Intellect Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nikweli kuwa Shivji hakusomea constitutional law lakini hilo pekeyake halitoshi kumfanya mtu kuupuuza mchango wake katika upembuzi wa kina wa sheria ya katiba ambao unatokana na tafiti za hali ya juu! Bado hatuja sahau maneno ya Werema kuwa katiba haina mapungufu na hakuna haja ya katiba mpya kama ilivyo semwa katika mdahalo wa akina shivji chuo kikuu na muda mfupi baadaye Raisi akaanzisha mchakato wa katiba mpya!
   
Loading...