Hivi tanzania inaongozwa na wasomi au waimba muziki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi tanzania inaongozwa na wasomi au waimba muziki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kabachubya, Jul 5, 2012.

 1. K

  Kabachubya Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wana JF hivi tanzania yetu inaongozwa na wasomi kweli au wajanja wachache na hata ukisema kufuatilia shule zao utagundua vitu? naona wamejaa bungeni wana miziki ,bendi etc. Hivi wanajua thamani ya kusoma kweli?


  Nawasilisha hoja.
   
Loading...