Madokta nao kugombea ubunge 2015 kutibu hakulipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madokta nao kugombea ubunge 2015 kutibu hakulipi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kabachubya, Jul 5, 2012.

 1. K

  Kabachubya Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  MAMBO VP WANA JF?
  Inaonekana si-hasa ndio inalipa, itakuwaje wataalamu wote madoctor , Engineers, maprofessors nao wakigombea ubunge kuzifuata hizo posho na mishahara minono, nchi hii itakuwa inaelekea wapi?

  Nawasilisha hoja.
   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Naunga mkono hoja!
  wajue ubunge kila mtu anauweza but udr na masomo yetu ya kike haya mmmh!
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wakagombee tu na huyo huyo doctor ndio atapewa uwaziri wa afya aone mziki wake. Kwanza madaktari wenzake wanamtenga fasta hata kabla hawajakaa kumsikiliza:evil: maana madokta wa bongo sijui ndio neuro :happy:.

  Serikali iangalie kuboresha mitaala ya madaktari pale MUCHS inawezekana wanakuwa na concentration ya masomo ya aina moja tu.
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Siku hizi kazi ni ubunge tu ,we hata ukimaliza dalasa la saba aafu ukajipanga apo kijijini na kupiga domo kama miaka 10 basi ujue utaukwaa ,mi nashangaa jamaa sasa wanaacha kuimba taalbu na kugombea ubunge ,utaona hawakosi ,watangazaji nao wamesituka wanagombea ubunge .
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Si umeona mwenyewe yule mbunge wa Kondoa Juma Nkamia, Komba ; na wakikosa ubunge wananyatia UDc na huko ndio wako wakina Makunga, Kipozi, Mkwasa Dumba na wengine wengi!! Siasa inalipa bwana ndio maana wakina Prosesa Mwakyusa, Mtulia, Msola , mbilinyi , Mwalyosi, Tibaijuka, Banyikwa etc waliacha taaluma zao na kuingia siasa!!Hii inawezekana Tanzania tu!!!!!!!
   
 7. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  hao watu wa ethics wataziweza siasa za kina lusinde?
   
 8. K

  Kabachubya Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ndio ujue nchi haiongozwi na wasomi,
   
Loading...