Tahadhari kwa vyombo vya habari na jamii kwa ujumla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari kwa vyombo vya habari na jamii kwa ujumla

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by PCZZO, Jul 5, 2012.

 1. P

  PCZZO Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa upande wangu hasa katika kipindi hiki tukielekea katika maadalizi ya katiba mpya ningeomba vyombo vya habari viandike au vitoe taqarifa sahihi na sio kupotosha watu kwani kwasasa imeonekana vinatoa taarifa zinazoonekana ni uchochezi wa watu hivyo kuhatarisha maisha ya wananchi kwa ujumla.Na wananchi pia wasishabikie vyama wakasahau lengo halisi kwani lengo ni kufanya malekebisho ya katiba na sio malekebisho ya chama ni hayo tu

  by

  PCZZO
   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
Loading...