madini ni moja kati ya driving forces watanzania tunayo kupata maendeleo endelevu why hayatusaidii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

madini ni moja kati ya driving forces watanzania tunayo kupata maendeleo endelevu why hayatusaidii?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANAZUONI MTI MKAVU, Jul 5, 2012.

 1. MWANAZUONI MTI MKAVU

  MWANAZUONI MTI MKAVU New Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mm nahis utumwa wa misaada kwa viongoz wetu ndo tatizo la kugawa madini yetu kama pipi
   
 2. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wizi tu, wamegawa madini kama pipi! Karibu kanda ya ziwa itakuwa ni mashimo tu na maendeleo hakuna!
   
 3. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wanatuachia mahandaki tu ili kuwawezesha wazee wa mabwepande kutupa watu wanaowasumbua
   
Loading...