Mwigulu Nchemba na BOT hatimaye na EPA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu Nchemba na BOT hatimaye na EPA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkwawa, Jul 4, 2012.

 1. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Mwigulu Nchemba habari za leo habari za kazi.
  Kwa sababu wewe ni mchumi na umewahi kufanya kazi BOT naomba utusaidia mambo mawili matatu.

  1. EPA ni nini
  2. Wizi wa EPA ulianza mwaka gani na ulikwisha mwaka gani
  3. Je ili kuweza kuiba fedha BOT na akaunti zake mfanyakazi anatakiwa awe kitengo gani, cheo gani??
  4. Ukaguzi wa mahesabu uliohusisha ugunduzi wa EPA wa mwaka 2005 na 2006 ni nani walihusika ndani ya BOT
  5. kazi zako ndani ya BOT zilikuwa ni zipi?
  6. Mambo gani unaweza kujivunia uliyafanya BOT kwa faida ya BOT na nchi yako.
  7. Ni kweli kuna uhusiano wa kisiasa na baadhi ya wafanyakazi wa BOT
  8. Je ni kweli vyama vya siasa vinaweza kupewa fedha na BOT
  9. Kaguzi za nyuma za kifedha za BOT na akaunti zake kama 2003 2004 na zile za mbele kama 2007, 2008, 2009 zinawizi wa fedha za umma ndani ya BOT
  Je wanaohusishwa na upotevu wa fedha za BOT, EPA, Minara pacha nk walikuwa wenyewe au kuna watu waliokuwa nyuma yao.

  Kwa kutumia udhoefu wako wa kibenk na BOT tunaomba mwongozo.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  mpunguzie maswali kuanzia la 7, hayo yana-dilute maswali ya awali.
  Ingawa hivyo hawezi kuyajibu hayo maswali.
   
 3. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Atakuja kuangalia km kuna typing error maaba ndiyo anachokijua na alichokibobea kwenye usomi wake wa uchumi
   
 4. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kapewa mahela kibao toka BOT na ndulu kwenda kupendezesha jimbo lake bila uhalali na prof beno gavana
  mpaka proposal yake ninayo ukiitaka mnyika nitakupa ni inbox tu kwan kachota pesa nyingi sana bila uhalali na pia kafungua kiwanda kikubwa uchapaji nyalaka na magazeti pale mwenge kachota mapesa yote BOT

  NA MENGI SANA JUU YA HUYU, hila kaniboaaaa sana na hoja zake za sasa hivi ni fisadi kweli mnyika ukiitaji nyongeza nitakupatia
   
 5. m

  muchetz JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Nimeikuta hii sehemu. It made my day:

   
 6. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mkuu endelea kufunguka hii ni nyeti sana,ndio maana kijana kapagawa kwa dharau mpaka viongozi wa bunge wanaogopa kumkemea anapokuwa anaongea upuuzi na matusi bungeni!
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mi sina chama lakini swali kama hili ungewauliza vigogo wenyewe madaraka ya juu
   
 8. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Nyalaka ndio kitu gani? Inaonekana wewe ni 0
   
 9. h

  hans79 JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Unatakiwa uelewe nini maana ya mwandisi zaidi ya hapo upingalo silo?ndo mana pana ufutio, au nao hujui ni wa nini?
   
 10. h

  hans79 JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Lengo ni kujua ukweli, kwa hiyo kama unazo hizo nyaraka zitume kwa John ili zitumike, pia usiwe kama Mwakyembe alosema mengi ameyaacha kwa makusudi.
   
 11. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwani Mwigulu na Hadija Kopa wana tofauti gani? Mmoja anaimba mipasho TOT
  na mwingine anatoa mipasho ndani ya Bunge, sioni tofauti kati yao!
   
 12. T

  Twigwe Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatahivyo hajakuuliza wewe!! kaa kimya,tutajibu
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Hawezi kujibu hayo maswali ata kwambia umekosea kuya wekea namba.
   
 14. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  QUOTE=hans79;4181449]Unatakiwa uelewe nini maana ya mwandisi zaidi ya hapo upingalo silo?ndo mana pana ufutio, au nao hujui ni wa nini?[/QUOTE

  Ndio walewale wanaokuja kwa ajili ya kuangalia typing errors tu!
   
 15. n

  nsami Senior Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwigulu is among idiot mp in tz and ol over the world.among the people who needd 2 b kidnaped and sodomize itc diz guy not ulimboka!
   
 16. m

  mwanakidagu JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamaa huyo lamec.si mkweli.najuta kuwa na mbunge kama huyu.hata mradi wa umeme ameukwepesha,ambao ulikuwa utoke kibaya ,usure,mbelekese,kikonge,kaselya.ameupeleka kwao makunda.'vijiji tajwa viko jimboni mwake. Sasa ashindwe hayo usemayo?.
   
 17. Shekhe Gorogosi Jr

  Shekhe Gorogosi Jr Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wekeni ushaidi hapaaaaa
   
 18. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  I real like this!
   
 19. p

  prosperity93 Member

  #19
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  napita tu....nitarudi mkirudi hapa na data zenye kueleweka za sakata la EPA, TWIN TOWER ECT
   
 20. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Yaleyale ya Mwigulu, kujadili typing errors badala ya maudhui. Kwa kweli hali yenu ni mbaya maana midomo imewaponza na sasa Mnyika amepewa uwanja mpana wa kulitolea ufafanuzi swala la EPA na wahusika wake.
  Labda muwahi kumpeleka Mabwepande.
   
Loading...