Utekaji Dr. Ulimboka, Tunaomba Tume Huru

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Baada ya Gazeti la Jamhuri kujaribu kumtakasa mtuhumiwa wa utekaji nyara wa Dr. Ulimboka, ACP Ahmed Msangi,


  1. Tunaomba serikali itoe maelezo kwa nini mtuhumiwa mkuu ashiriki kwenye tume ya uchunguzi katika tuhuma zinazomkabili
  2. Huyu mtu ana tuhuma nzito ndani ya jeshi la polisi na viongozi wakuu akiwemo IGP wanalifahamu hilo iweje apewe mamlaka ya kutafuta wahalifu wakati yeye ni mhalifu namba moja (nasema mhalifu kwa maana waraka unaonyesha alikubali kwamba yeye ni mhalifu na akaomba msamaha)
  3. Tunaiomba serikali itoe maelezo kuhusu hizi nyaraka ambazo wakuu wa polisi na usalama wa taifa wanazo zinazomshutumu Ahmed Msangi kuwa mhalifu tena wa ujambazi
  4. Tunaomba serikali itupe maelezo ya usalama wa raia wake kwani mtu anatekwa, kwa kusudi la kumuua, washukiwa wanatajwa lakini hatua zozote hazichukuliwi dhidi ya washukiwa. Wiki inaisha serikali kimya. Tunaomba majibu
  5. Tafadhali msifumbie macho haya maswala ya msingi kwani yana uzito. hizi siyo uzushi ni malalamiko ya kweli ya raia waliowengi. Tunaomba msiwashinikize MODs kuondoa hii thread. Kwani raia na sisi wana CCM tunaomba majibu yatolewe

 
Msangi kwenye mahojiano yake amesema; hawezi kujitoa kwenye hiyo tume kwani wakubwa wake ndio waliomuweka. Je, tujiulize na tuhuma zote hizo (whether its true or not); kwanini wakubwa wake bado hawataki kumuondoa apishe wengine wanaoaminika wafanye kazi hiyo? Kwanini wang'ang'anie yeye tu?

Mr President, Kamanda Kova, Kamanda Mwema & Co, maneno yenu yanapingana kabisaa na matendo mnayoonyesha. Kweli kwakuendelea kumkumbatia ACP Msangi mnataka kuaminisha umma serikali haihusiki na shambulio la kutaka kumuua Dr. Ulimboka?
 
Msangi kwenye mahojiano yake amesema; hawezi kujitoa kwenye hiyo tume kwani wakubwa wake ndio waliomuweka. Je, tujiulize na tuhuma zote hizo (whether its true or not); kwanini wakubwa wake bado hawataki kumuondoa apishe wengine wanaoaminika wafanye kazi hiyo? Kwanini wang'ang'anie yeye tu?

Mr President, Kamanda Kova, Kamanda Mwema & Co, maneno yenu yanapingana kabisaa na matendo mnayoonyesha. Kweli kwakuendelea kumkumbatia ACP Msangi mnataka kuaminisha umma serikali haihusiki na shambulio la kutaka kumuua Dr. Ulimboka?

yaana hata siye wapenzi wa CCM tunapata aibu kweli kutokan ana hili swala la Dr. Ulimboka
 
Ama kweli, Hivi ni asilimia ngapi ya maafisa wa jeshi la polisi ni wasafi? Niliwahi kusikia stori (sasa sijui kama ni za kweli au la) eti zamani Kovar alikuwa anaongoza kikundi cha kupora magari ya serikali. Kama nikweli unaweza jiuliza amepewaje dhamana kubwa hivyo ndani ya jeshi? Au lote ni jeshi la waarifu?
 
CCM-MAMA

Ndgugu asante sana lakini kwa hili kweli kabisa wananchi wamepoteza kabisa imani na serikali na kama hawa wahalifu hawatashughulikiwa ipaswavyo kwa mujibu wa sheria Basi sasa yale maneno ya Baba wa taifa kuwa Ikulu imegeuzwa kuwa pango la wanyangányi sasa watanzania ndio tutaelewa vizuri kwa sasa askari wanaoneka si salama hali ambayo ilikuwapo na kuanza kupotea kwenye fikra za wananchi ila kwa hili sasa inajidhihirisha kabisa kuwa ukimuoana askari jihadhari na hali ya kujiona tunaishi utumwania inatawala vichwa vyetu na vichwa vikichoka huuutuma mwili kuonesha hizi hasira zote kwa Vitendo


Eeehh baba Mungu tunakuomba utukokoe katika mikono hii ya wahalifu, majambazi na wauwaji ambao wnashikilia nchi uliyotuzawadia kimabavu na kwa manufaa yao binafsi kana kwamba uliwaandalia wao peke yao

Amin
 
Dah, hapa naona Wasukuma na Wanyamwezi tupo kadhaaa......

Ngoja nilifuatilie hili kwa ukaribu......
 
attachment.php


Hii peke yake inatosha kumweka ACP Msangi chini ya ulinzi
 
attachment.php


Hii peke yake inatosha kumweka ACP Msangi chini ya ulinzi

Kikwete anajua hili lakini mwenyewe anatabasamu tu. Nimeambiwa jana kwamba alipewa hizi taarifa za huu waraka. Ona KOVA kakomalia tupende tusipende tume Itaendelea na kazi yake.
 
tungekuwa na raia wengi angekmatwa, lakini naona kova maeshamzawadisha kwa kufanya uhalifu
 
Hivi kuna sheria inayowazuia jumuiya ya madaktari kuunda tume yao ya kuchunguza hili?
 
Back
Top Bottom