Wakurugenzi wa hospitali binafsi wamegoma kubeba mzigo wa serikali wa kuchukua wagonjwa kutoka hospitali za Public zilizoathiriwa na mgomo.
Serikali yapata jibu la kejeli... "Kama mnaweza...
Ni jambo la kushangaza sana kuona serikali wanapata uwezo wa kusema wataleta madaktari kutoka nje kwa kuwalipa mihela kibao(zaidi ya bil. 200) huku wakishindwa kuwalipa madaktari wa nchini.Hii...
Natoa rai kwa uongozi wa Chadema wakae chini na kuwafunda wabunge wao kwani inaonekana wamekosa uelekeo wawapo mjengoni.
Tumefuatilia kwa karibu tukagundua wabunge wao wanaongoza kwa kuanzisha...
Mwanzo alisema Rais dhaifu; baadaye amesema Bunge na serikali pia dhaifu. Hivi ujasiri huo unatokana na source hii ya information Tanzania Scorecard | Global Integrity?
Source: Nipashe 4/7/12 na...
Tunataka tume huru,ambaya itachunguza tuhuma za kupigwa kwa ulimboka.,tofauti ya hapo mtakachokipata baada ya uchunguzi wenu pelekeni kwenye vikao vya nec ya ccm...nasi tutachunguza upya upigwaji...
Bernard Kamilius Membe
Serikali imepokea taarifa kuhusu tuhuma za meli za Iran kupeperusha bendera za Tanzania ili kukwepa vikwazo. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na SMZ hazitaki kupuuza...
Wakuu nilifuatilia leo asubuhi mahojiano yaliyokuwa yakiendeshwa na mtangazaji wa TBC aliye Dodoma, mahojiano yalikuwa ni kati ya wabunge wawili ambao ni Mbunge wa sikonge kupitia CCM anayeitwa...
Kuna mambo3: haya mukiyatekeleza kwann muendelee kupiga kelele za muungano?. (1) kutoa maoni ya KATIBA mpya ambayo ikimaliza kukusanya maoni itapelekwa kwa rais wa muungano na itajadiliwa bungeni...
Posted on July 5, 2012 by zanzibaryetu
Wajumbe wa baraza la wawakilishi wakiwa katika kikao cha kujadili bajeti ya serikali mwaka 2012/2013 huko Chukwani Mjini Zanzibar
Na Juma Mohammed...
Kuna mbunge katoa hoja binafsi ya kutaka bunge lijadili suala la kushuka bei ya pamba, kitu cha kushangaza ni kwamba baada ya spika kutoa muongozo wa kueleweka, kwanza amecheka cheka, pili...
Wanachedema naomba ushauri wenu suala hili la viongozi wa Chadema hapa Washington kuvaa kihereni sikioni linakera watu wengi. Sasa tufanyeje? tusije chemsha kama chama cha wenzetu
Ujumbe wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC) uliotolewa na maaskofu hao baada ya kikao chao cha mkutano wa 65 uliofanyika Kurasini DSM na kusomwa na Rais wa TEC Mhashamu Thaddaeus...
Nakumbuka mwaka 1994 shauritanga ilipoungua waziri mkuu wakati huo samweli malecela alisema serikali itafanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha moto na wataalamu kutoka uingereza (scotland...
Mbunge Stella amesema wazi CHADEMA wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema Mungu amemuepusha Uulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama Hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza...
Asubuhi hii nimetembelea hosipitali ya muhimbili , na taasisi ya mifupa ya MOI
nimeshuhudia kwa macho yangu Hakuna huduma kabisa!
kinachonisikitisha viongozi wa serikali, vyombo vya habari na...
Kuna mtindo umeibuka kwa shule za binafsi kuwalazimisha watoto wa shule kuchangia ujenzi wa hostel za shule (mfano St. Anthony), siyo hilo tu bali wanafunzi pia hutakiwa kulipa gharama za...
Posted on July 5, 2012 by zanzibaryetu
Jabir Idrissa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa Hutuba yake wakati wa mkutano wa Jumuiya ya Wastaafu wa...
ZANZIBAR LAW SOCIETY YAANDIKA BARUA KWA RAIS KUHUSIANA NA UTEUZI WA MAJAJI
Our Ref:ZLS/IKULU/001
Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi
Ikulu, Zanzibar...
KATIKA hali isiyo ya
kawaida, Chama cha
Mapinduzi (CCM) mkoani
hapa kimesusa kushiriki
katika mapokezi ya mbio za Mwenge ulioanza
kukimbizwa mkoani
Tanga juzi.
Mwenge huo uliopokewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.