Prof. Issa Shivji

Status
Not open for further replies.

KIJOME

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
3,084
732
Heshima kwenu wakuu,
jana jumatano nilijiweka tayari luningani kupata darasa adhimu litolewalo na huyu profesa alietukuka na msomi wa hali ya juu sana,ajabu ni kwamba hakutokea,hii ikaniletea swali,
_je magamba yameshatuhujumu?
Mwenye jibu sahihi atufahamishe tafadhali...
 
Vipindi vya Prof Shivji kuhusu Katiba vilivyokuwa vikirushwa live Itv kama sikosei prof aliandaa mada ya kutoa katika vipindi vitano tu, alitamka hivyo siku ya kwanza na ilipofika siku ya tano au jumatano ya tano alifunga rasimi mijadala yake, sikweli kuwa alifungiwa na magamba!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom