Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya Yakutana na Waandishi Zanzibar Leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya Yakutana na Waandishi Zanzibar Leo

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by abdulahsaf, Jun 20, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]

  [​IMG]

  Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya Katiba wakiwa katika Mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph Warioba akitoa hotuba katika mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hio Agostino Ramadhan.
  [​IMG]


  [​IMG]

  Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar
  [​IMG]

  Mwandishi wa Habari Kutoka Idara ya Habari Maelezo akiuliza maswali katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
  [​IMG]

  Mwandishi wa Habari Kutoka Gaazeti la Majira Mwajuma Juma akiuliza maswali katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
  [​IMG]

  Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph Warioba akisisitiza jambo katika mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.

  PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
Loading...