Mafao ya NSSF walivyo wazidi kete PPF in their own game | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafao ya NSSF walivyo wazidi kete PPF in their own game

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by friendsofjeykey, Sep 23, 2010.

 1. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PPF wamefanya AGM yao huko Arusha na kwa mbwembwe na mikogo ya kufa mtu na a day before hajamaliza wakatangaza kuwa mafao yamepanda from 21,000 to 50,000.....na watu walishangilia mle ndani utafkiri Tanzania imeshinda World Cup kuwa mambo si ndio hayo


  NSSF kumbe nao on the same day wakatangaza kupanda kwa mafao from 50,000 to 80,000 sasa kwa nini serikali haitaki sisi wachangiaji kuhama mifuko kama hii ya PPF kwenda NSSF ambako pensio ni kubwa?  Unless bwana URIO wa PPF ana good reason ya kunizuia nisihame maana huu upuuzi kulipwa 50,000 wakati kuna sehemu unalipwa 80,000
   
 2. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  LAPF vipi wao hawajapandisha?
   
 3. a

  adobe JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Wa Tz kumbuka hata Mwalimu alitoa mfano kuwa Mtu anaweza akwa na almsi halisi akikutana na mtu na kumwambia hio sio almasi akambadilishia na kumpa kipande cha chupa anafurahi na kuondoka kama zuzu, Hivyo ndivyo tulivyo na tusipoiondoa CCm madarakani tutabakia kam ZUZUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
   
 4. R

  Rayase Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mhe JK alipokuwa akijibu hoja za TUCTA alituambia suala la Pension litapata suluhu september 30, 2010. This is sept tusubiri tuone pengine tutapata majibu au mwenye taarifu kuhusiana na The social security (regulatory Authority) act atupatie data. Maana kuna tetesi kuwa mpaka sasa hakuna management ya the authority.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,054
  Trophy Points: 280
  Wamepunguza
   
 6. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  duh tumeumia
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  Alishasahau na hana wa kumkumbusha
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  nani kasema huwezi kuhama pension fund moja kwenda nyingine?
   
 9. i

  immak Member

  #9
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 13, 2007
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ndugu zangu upandaji wa vima vya chini vya pensheni katika Mifuko hii ya Pensheni unaangalia mambo mengi sana. Unazingatia mchakato wa actuarial analysis ya Mifuko ikiangalia ina akiba kiasi gani, ziada kiasi gani na uwezo wa kulipa kwa muda gani wa mbele katika mazingira yoyote yale.

  Ukiangalia in isolation unaweza kuona kuwa kupanda kwa pensheni kwa NSSF kutoka Sh. 50,000/= kwenda shs. 80,000/= kunaweza kukawa na bearing kubwa sana lakini ni vizuri wananchi wakafahamu kuwa NSSF ina jumla ya wastaafu (pensioners) 1,200 tu wakati PPF wana wastaafu (pensioners) 21,000.

  Kama mtafanya utafiti overall pensheni ya NSSF imeshushwa kwa kuwa kima cha chini kimepandishwa kwa kiasi hicho lakini rates za pensheni zingine za juu ya hapo ama zimebaki hivyo hivyo au zimepunguzwa kwa sababu ya ulinganifu wa formula inayokokoyoa pensheni hizo.

  Kwa idadi ndogo ya wastaafu walionao NSSF (1,200) walipaswa kulipa kiwango cha juu zaidi na in real sense kwa idadi ya wastaafu waliopo PPF (21,000) pensheni inayolipwa mwisho wa siku PPF inalipa pensheni kubwa zaidi kwa jumuia ya wastaafu.

  Mbali ya hayo PPF pia inatoa mikopo ya nyumba za gharama nafuu ambazo zinauzwa "at cost" na pia zinatoa mikopo kwa vyama vya kuweka na kukopa SACCOS.

  PPF ni Mfuko pekee nchini unaolipa mafao ya elimu ambapo mwanachama anapofariki PPF inawalipia mpaka watoto wanne wa marehemu elimu mpaka kidato cha NNE.

  PPF pia ndiyo Mfuko pekee nchini ambao wewe mwanachama unaweza kupata taarifa mbali mbali za uanachama wako kwa kutuma SMS na pia kupitia kwenye internet.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,054
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa taarifa
   
 11. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hizi ni propaganda!!!!!!!! Mawazo ya mgando kuhusu mafao ya wastaafu hapa nchini itachukua miaka mingi ijayo-kwa sehemu yanayotangazwa ni hula baloo za kisiasa zaidi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wanafanya zaidi show-off; kwani wanachokusanya kwa wanachama kulinganisha na kile wanacholipa havina uwiano-kwa sehemu kubwa fedha zinazokusanywa ni kwa manufaa ya vigogo wa sisiemu kuchota kama wakati mmoja alivyochota sumaye-wakati ule milioni 200??? Mwanachama anaambulia tshs 50,000 kwa mwezi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 12. K

  Kimla JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,495
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  ndugu zangu wale walioko mifuko ya Pspf na LAPF ndo wanafaidi lakini sisi private sector tulio NSSF au PPF ni watu wakuumia tu.Lampsum yao au monthly pensio ya NSSF na pPF ni ndogo sana
   
 13. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kusubiri mafao ndo kitu cha mwisho nitakachofanya.
  Mla mla leo!
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kiongozi Soon formula itakuwa moja ya kukokotoa pensheni so usihofu wala nini NSSF lkn wezi kweli kweli
   
 15. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  GEPF nafikiri kwa sasa ndio wazuri kuliko wote..wabaya kuliko wote n NSSF..
   
 16. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  nssf=ccm
   
Loading...