Kusoma sio mwisho wa ujinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusoma sio mwisho wa ujinga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MIGNON, Jul 5, 2012.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Madaktari.
  1. Hivi kabla ya kugoma mlijaribu kupitia na kusoma sherai za kazi?
  2. Kama mlipitia sheria za kazi je mnaweza kueleza kuwa mgomo mliofanya ni halali?
  3. Je mnazitambua taratibu zinazotakiwa kufuatwa kabla ya kugoma ikiwa ni lazima kugoma?
  4. Fani ya udaktari inaongozwa na maadili.Je maadili yenu yanaelezaje kuhusu taratibu za kutafuta haki zenu,tunaomba mtujuze.
  5. Mgomo umeitishwa na jumuiya ya madaktari.Jumuiya hii imeandikishwa wapi na kwa sheria gani?Hamuona kama mnaingia katika majumuiko ambayo hayapo kisheria na ambayo hayawezi kuingia mkataba wowote wa kisheria?
  Babu yangu alisema kusoma si mwisho wa ujinga na ujinga si tusi.Pamoja na udaktari wetu ni lazima tuelimike.
   
Loading...