Membe awataka marafiki... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Membe awataka marafiki...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Jun 20, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Bungeni sasa hivi;

  Membe amewataka wale marafiki wa Tanzania wa vyama vinavyopigia debe ndoa za jinsia moja na ambao wametishia kusitisha misaada ya uchumi kwa nchi ambazo hazikubali ndoa ya jinsia moja waongee na mashoga zao waache hayo.

  Jee, ni kina nani hao?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Mmmmh, uanamme kazi jamani.
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  uanaume ni kugangamala.....
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu anasema eti mashoga zao (wa chama cha Cameron) wa hapa Tanzania ni CHADEMA.
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Kelele zako haziifanyi ccm kuwa nzuri ewe ZOBA oh! sorry zomba.
  Typing error.
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  hiyo kazi ina ajira
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  nilijua na akili zako mbovu za kijinga!
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe mwenyewe uko hivi.......halafu unakandia nini?

  [​IMG]
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Chademu?
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mi nilidhani JK ndio anaongoza kutembelea nchi inayoongoza kwa kushabikia ushoga... na akamuingiza na mbatia kwenye duru yake

  thanks kwa kunielimisha
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sisi tunaongea ukweli wewe unadhani?
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  of all the people, wewe wa kuongea ukweli!!!

  unafiki utakuua
   
 15. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  unajua naogopa kupata bani ila hiyo kauli ya membe imenisikitisha sana maana membe anajua kabisa nani shoga katika ngazi za juu halafu leo hii anataka kuwasingizia vyama vya upinzani ilimradi tu awaue kisiasa.
  kuna mtu ambae hajui mheshimiwa fulani ambae sasa ni mbunge wa kuteuliwa (mwanaume)alikuwa anatembea nani halafu akaja katembea na nani kwa sasa? hilo tunalijua.
  hivi huyo mheshimiwa anaweza kuniambia unapompa kijana wa mwenzio zawadi ya gari (vitz) huyo mtu anahusiano gani na yeye na visafari vya hapa na pale?. sipendi unafiki kabisa wa viongozi wetu ni aibu sana nawaambieni kama unaamua kukemea mambo haya kamwe jihakikishie na wewe ni msafi kabisa, na hiyo dhambi ambayo viongozi wa serikalini kuwaharibu vijana wetu wa bongo fleva hakika nawaambieni siku si nyingi itawarudia kwa watoto wenu, na kwanza watoto wenu baadhi tayari waweshakuwa na tabia ambazo hazieleweki eleweki, viongozi wa serikali pigeni kazi acheni unafiki kujifanya mko wasafi wakati ndio watu wa kwanza wa kuyafanya mambo haya kwa siri ni aibu sana halafu mwisho wa siku mnawaharibu mnawaacha wa kihangaika na ipo siku mmojawao atajitokeza hadharani nahisi mtamuua kabla hajasema. kiama chenu kinakaribia hivi karibuni. in short tunawajua sana na mbaya mambo haya mmeyajua mkiwa tayari mnavyeo basi ndio kabisa mmeangukia kabisa mkishirikiana na yule boss wa zamani wa shirika moja ambalo liko chini ya wizara ya mwakyembe nahisi mtakuwa mnamuelewa maana mjini alikuwa anajulikana kwa mambo haya kwa wanaemjua huyu ndio alikuwa ana laana kabisa alikamatwa akifanya mapenzi na mchumba wa mtoto wake kwa kike. kwa sababu alikuwa kipindi hicho yupo kwenye system ikawa siri mpka leo ila sisi majirani tunayajua yote haya halafu leo hii mnaongea ovyo bila kutafakari. jisafisheni hadharani halafu mseme hatutaki misaada kutoka kwa mashoga na msiwe mnajipendekeza na viziara vyenu huko, maana mtu akisema ni shoga hapo bongo si mtamtenga kabisa na wengine mtaponda mawe?? iweje prime minister wa uk aseme kuweni mashoga tuwape chakula na bado mkionana nae mnacheka cheka?? ina maana si umekubali offer yake?? TUMIA VIZURI ULIMI WAKO KUONGEA KABLA HUJAONGEA MAANA IPO SIKU MTAKULA MATAPISHI YENU SIJUI USO WENU MTAUWEKA WAPI.
   
 16. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ushoga ushoga haya basi nipelekeni na mie msoga nikawaone kaole
   
 17. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280

  Duh!!!!!!!!!!
   
Loading...