ITV Malumbano ya hoja: Miaka 20 ya demokrasia ya vyama vingi, Je, kuna mafanikio?

sir.JAPHET

JF-Expert Member
May 18, 2012
699
133
wanazuoni wamekusanyika kuzungumzia mafanikio na mitazamo yao kuhusu demokrasia ya vyama vingi baada ya miaka 20,, namuona mhe, john tendwa na mhe, nape nauye,,
 
nape ansema bunge la siku hizi limejaa malumbano ya vyama zaidi kuliko wabunge kubeba hoja za maana zenye kuleta maendeleo kwa jamii,, na siasa zimehamia bungeni,, na anasema ufisadi haujainuliwa bungeni na wapinzani ,, vyama pinzani,, na kwamba ulikuwepo toka zamani,, na ufisadi ulikuwa ukiitwaa uhujum uchumi na mafisadi waliitwa wahujumu uchumi,, na vyama vimekosa ujasiri wa kusema kuwa sis ni wajamaa au ni mabepari,,
 
Nimeona hii topic ktk tv itv nimeona ije hapa kwa great thinkers, naomba tuzungumzie hili katika vielelezo zaidi, tena vilivyo hai na vyenye mantiki zaidi.
 
Nape amechangia vizuri mwanzoni ila kamalizia kama mnchemba ni kawaida ya magamba washapumbazwa na kejeli na matusi. Mama wa nccr mageuzi ameonge kiutanzania zaidi.
 
Ishu hapo si kuponda chama fulani specifically, bali ilikuwa ni kutoa tathmini ya mfumo huu tangu ulipoanza, matatizo yatokanayo, mafanikio, cha ngamoto za uendeshaji, mtazamo na dira au hatima au majaliwa ya mfumo huu.
Si wakati wa kujisifia nani mwenye hati miliki ya agenda au hoja fulani...at least not now.
 
nape ansema bunge la siku hizi limejaa malumbano ya vyama zaidi kuliko wabunge kubeba hoja za maana zenye kuleta maendeleo kwa jamii,, na siasa zimehamia bungeni,, na anasema ufisadi haujainuliwa bungeni na wapinzani ,, vyama pinzani,, na kwamba ulikuwepo toka zamani,, na ufisadi ulikuwa ukiitwaa uhujum uchumi na mafisadi waliitwa wahujumu uchumi,, na vyama vimekosa ujasiri wa kusema kuwa sis ni wajamaa au ni mabepari,,

Ujamaa wa ccm uko kwenye karatasi. Huwezi kuwa mjamaa huku unajilimbikizia mali na kufilisi rasilimali za nchi huku wakiwaacha watanzania katika umasikini.

Kuhusu bungeni, amenichefua sana. Anajifanya haoni kwamba chanzo cha mivutano bungeni ni wabunge wa ccm na spika (kiti cha spika) kuzidiwa hoja na kutoa lugha za matusi dhidi ya Chadema. Amesahau kuwa mbunge wa sikonge amewatukana watanzania kwa kuwaambia 'Kama wana uchungu waende wakazae, na Naibu spika kufurahia jambo hilo?

Nape ni mnafiki, anataka watanzania waendelee kuwa wanafiki. Waunge mkono hoja mia kwa mia halafu wapinge kila kitu wakati wanatoa michango yao. Zama hizo zimepita, bora muanze kuzpea mikiki mikiki ya bunge la watu wanaofikiri vizuri.
 
mafanikio yapo tumeunda na kusajili vyama kibao ccj chauma tlp nccr chadema udp undp n.k ambavyo ukisha pita uchaguzi wameisha jilia hela za wahsani na kuvimbiwa wanajisahau kabisaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom