Kwa Wapenzi wa CCM... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wapenzi wa CCM...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtoboasiri, Jul 5, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa yenu nyinyi mnaotumwa kutufanya tuamini vinginevyo:
  Watanzania tulio wengi tumeamua kuwaamini CHADEMA kwa sasa hata kama mnasema ni Chama cha kidini, kikanda au kikabila. Hadi hapo kitakapothibisha kuwa kimeshindwa kutimiza haja za Watanzania!

  Kwa maana tumedanganywa vya kutosha, tumeonewa vya kutosha na tumenyanyaswa vya kutosha. Na sasa tumeamua kuwa hatutanyanyaswa tena, kuonewa tena, na kudanganywa tena. Na Mungu alietuumba na atupiganie (na watu wote wapenda haki na waseme AMINA)!
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ngoja waje.
   
 3. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 1,998
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  message sent....
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hakiamama ngoja wale washikaji wale watumwa waje hapa na utasikia majibu,Mi na Ringo Edmund tumepita hapa tu! Sikilizia mwenyewe hayo majibu!
   
 5. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Napita tu kuangalia mapenzi na vyama vyao.
   
 6. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,391
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Chama cha mabwepande najua jamvini mmebaki kidogo njooni tu mjibu hoja
   
 7. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hata wakisema chama cha kikabda ni sawa tu kwani mabadiliko ya kweli husababishwa na chanzo ambacho aweza kuwa mtu/watu na hawa lazima wawe wanakubaliana kisha kuuza sera zao kwa wengine (sisi) tunawaamini na tunatekeleza sera hizo ili kujenga nchi yetu.

  kumbuka hata mabadiliko ya nchi za kiarabu yalianzia Tunisia kisha kusambaa kwingineko

  PEOPLE'S POWER DAIMA DUMU
   
 8. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Aaaaaaaaaaamen
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,782
  Likes Received: 6,596
  Trophy Points: 280
  Amen x 1000
   
Loading...