3 certificates + 1 diploma = master's degree | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

3 certificates + 1 diploma = master's degree

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GP, Jul 5, 2012.

 1. GP

  GP JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hivi hawa waheshimiwa hizi taarifa zao za elimu ziko sawa kweli?, kuna sababu ya TCU kuanza kua na MENO na KUCHA kufanya kazi yake, kama viongozi elimu zao ni za kubambia kweli taifa litaelekea wapi kushindana na wasomi wa nchi zingine kama majirani zetu wa africa mashariki.
  nimeshangazwa na mtiririko wa elimu wa mheshimiwa vick kutoka certificate mpaka master's degree!
  Aaah, Mh. Kamata bana we mkaliii,
  gonga hapa
   
 2. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Sijaona kosa lake,ila nahisi kuna makosa katika rekodi za elimu yake katika tovuti ya bunge.
  Kwa sababu nimeona amefanya research,ukitazama katika upande wa publications. Na research ninachofahamu kwa vyuo vingi Tz ufanywa na wanafunzi waliopo Advance diploma au degree na kuendelea. Sasa kuna hiyo publication ya Research inayoonyesha alifanya Saut. Kwa akili yangu sidhani kama alifanya akiwa katika level ya Certificate
   
 3. GP

  GP JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  thus why mstari wa kwanza kabisa nimeandika je taarifa hizi ziko sahihi kweli?, waweke taarifa sahihi jama, maana tunataka sasa kwenye mabadiliko ya katiba wabunge wawe na atleast a degree!!
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  kaazi kwelikweli
   
 5. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  vick alianza darasa la kwa kwanza na miaka mitano. kazaliwa 1978 kaanza darasa la kwanza 1983 is it true?
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Inawezekana kabisa amekusudia shule ya vidudu !
   
 7. K

  Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 1,221
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Hizo Publications mbona zinaonekana ni mbili tu na zimerudiwarudiwa na kuzifanya kuonekana nane,Pili zimekuwaPublish kwenye Journal gani?au wapi? Are they Published in Peer review Journal or not?
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Vicky ni kiboko mazee!
   
 9. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,829
  Trophy Points: 280
  Bora liende. Hucho chuo Uk sidhani kama ni one of the respected/high profile universities in UK. Ni sawa na zinazomwagwa sasa hivi hapa kwetu. sizitaji mnazijua zinaanzishwa kama uyoga!
   
 10. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Lakini mbona ni wengi sana ambao taarifa zao zimekosewaa? Swala hili limepigiwa kelele miaka mingi na wengine kufikia kuandika kitabu ili kuonyesha haya mapungufu. Kutokana na swala hili nyeti kutokushughulikiwa na Bunge ama TCU, then tunachukulia kwamba swala hili ndivyo lilivyowasilishwa kwa usahihi na TCU hawawezi kuwagusa maana hawa ndiyo wakuu wa nchi.
   
 11. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Huyu mama alikua SAUT mwanza. Kwenye uchaguzi wa rais 2005 alitoa kibao cha WANAWAKE NA MAENDELEO na kua mtumbuizaji wa kampeni za JK na hivyo hakufanya pepa wala asignments nyingi chuoni. Aliporudi akawa KADISCO, Jk akamlipa fadhila kwa kumtafutia shavu BoT na baadae kumsomesha Uingereza. Sasa sijapata mchanganuo wa Diploma hadi Master's degree ukoje hapo. Ila ukweli ndo huo........

  Jk tena... kama Nancy Nkui vile hahahahahahaaaaaaaaaaaaa. Mwili pia biashara! Hii ndio BONGO.
  Rais feki waliomchagua kwa mbwembwe na tabiri kibao pia feki!
   
 12. commited

  commited JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Asante mdau ebwana... hizo taarifa nami nilizipata.... nasikia huyu dadaaaa baada ya kumsaidia sana mzee wa totoz (jk)katika kampeni za 2010, kwa maana ya unenguaji majukwaani... kama kawaida ...naamuuuu mzee watotozi akaanza kupata mambo hapo.. then naye akaamua kumlipa fadhila kupitia kodizetu...

  Akampeleka uk kwenye hako kachuo ili apate masters nasasa yuko hapo anakula mamilioni yetu hapo kwenye stoo yetu iliyojaa vichakaa ( BOT) KAZI IPO SI YA KITOTO HASA KUONDOA HUU MFUMO...

  NADHANI LAZIMA TUUANE KIDOGO ILI KILA MTU AMUOGOPE MWENZIE OTHER WISE USHENZI HUU UTAENDELEA.... UTASIKIA HATA VIMADA WA RIDHI 2.. KESHO WANAPEWA UKUU WA MIKOA... DAAH TZ YA UKWELI ALIKUFA NAYO NYERERE ....AGRRRAAAAAAAAA MPAKA HASIRA MKUU MZALENDO
   
 13. K

  Kakubilo Kasota Senior Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duu alikuwa kichwa kweli, Darasa la kwanza aliaanza akiwa na miaka 5?
   
 14. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Huyu Mbunge ni muongo sana!Yaani alianza darasa la saba akiwa na miaka 4(kwani alizaliwa Sept 1978 na kuanza darasa la kwanza January 1983)

  Kwa sisi tuliosoma zamani at least mtoto ufikishe miaka 7 ndipo ulikuwa unakubaliwa!Analeta system ya sasa ya digital kwenye miaka ya 80?

  Nahisi hata huko UK anakosema kasoma pia kadanganya tu!
   
 15. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Hiyo mistari yenye CAPS ndo naipenda!
   
 16. 2

  2000yrs Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu gp, hii ni kali cjapata kuona.
   
 17. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  hakuna makosa... Mbona mzee slaa... Ni mwendo wa certificate tu! ... Search cv yake humu utaiona
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Vita yako na Slaa tunajua imekaa kidini zaidi kuliko unachokiongelea hapa! Mkuu mbona una kazi aisee! Utaondoka duniani hizi dini zitaendelea kuwepo
   
 19. 2

  2000yrs Member

  #19
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu we huwajui magamba kwa kuchakachua elimu. Kuna yule mheshimiwa wa viti maalum anaitwa shamaa km sikosei. Yule nilisoma nae cheti cha law udsm tawi la lumumba na tukamaliza mwaka 2008. Alifeli na hakupata cheti. Juzi juzi nasoma mwananchi namwona kateuliwa kuwa mjumbe wa tume ya warioba. Kucheki cv yake nimechoka. Eti mwaka aliomaliza cheti ndo kamaliza dip ya sheria halafu 2009 kamaliza llb udsm.
  Huwa nafikiria aina ya katiba tutakayoipata kutokana na watu km hawa.
   
 20. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Mi nimechoka kwenye idadi ya publications zake. Kwa haraka haraka utaona kama ziko 8. lakini ukweli ni 2 tu. Nashawishika kusema huenda bunge limekosea kuweka hizi rekodi sawia
   
Loading...