Dr mwingine atekwa Mbeya

PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
236
Nimepata tetesi jioni hii kuwa kuna daktari katekwa na kupigwa vibaya huko mbeya, waliopo mbeya naomba kujua ukweli wa jambo hili!! kama ni kweli basi hizi ni kuni mpya za mgomo wa mdr. ee mola tuepushe na hili
UPDATES: Wana janvi Habari hii haina ukweli wowote. nimefuatilia kwa mtu wagu wa karibu aliyeko mbeya kanianbia ni uzushi.
Naomba radhi kwa usumbufu mloupata kutokana na tetesi hii. mods naomba ifutwe thread hii.
 
Watu wa mbeya tupeni habari, huko najua hatutaki ujinga,wakifanya hivyo,!? sijui itakuaje!? watakuwa wanatutafuta ubaya
 
Wadau, si vyemakuleta taarifa zenye malengo ya kupotosha jamii.

Matukio ya uhalifu nchini na nchi zote hapa duniani yanatokea, na yanaweza kumkumba mtu yoyote wakiwamo madaktari wetu. Viacheni vyombo vya usalama vitende kazi yake wakuu.
 
Ubaya wa tetesi uko wapi ndg mi sioni tatizo hapi
 
Wadau, si vyemakuleta taarifa zenye malengo ya kupotosha jamii.

Matukio ya uhalifu nchini na nchi zote hapa duniani yanatokea, na yanaweza kumkumba mtu yoyote wakiwamo madaktari wetu. Viacheni vyombo vya usalama vitende kazi yake wakuu.

Hakuna upotoshaji,vyombo vya usalama vimeshafanya kazi yake kama kwa ulimboka,sasa imebaki kazi yetu wananchi!
 
Tatizo Jamii Forums ina majukwaa mengi lakini hapa naona pameshakuwa sipo inaonyesha ni sehemu ya kutisha
Haya hata huku Dodoma Dr wawili na Mbunge wa upinzani wametekwa
 
Back
Top Bottom