Hivi ile kesi ya mauaji ya pale nyumba za mawaziri makumbusho imeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ile kesi ya mauaji ya pale nyumba za mawaziri makumbusho imeishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TabletFellow, Jul 4, 2012.

 1. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu sorry kuuliza

  KUna waziri mmoja (wakati huo) mtoto wake aliua live na picha zikabandikwa, tena waliteka nyara kabla ya kuua.... nijuavyo mimi ile kesi ilihusisha dhuluma,

  Naomba mwenye updates jamani, kwani kuna kila dalili yule mama mhusika wa shughuli ile, anaendeleza dhuluma mno kama vile kule kuua kulichochea rasmi dhuluma
   
 2. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Leta habari kamili kama huwezi kaa pembeni.
   
 3. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  si ndio maana nikauliza
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  'TF'!

  Hebu funguka! Unaweza ukawa uko kiukweli lakini haujafunguka full!

  Ilikuwaje hayo mauaji na ni mwaka gani,Tukumbushane hebu!
   
 5. M

  MtotoWaMandela Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TF hicho kijamaa nimekipenda sana ni CHADEMA kinamsukuma CCM.THX
   
Loading...